Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Tax
nisaidieni kuna mtu anataka kusoma diploma ya TAX je chuo gani anaweza soma?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wanafunzi hao wameonekana kwa warden wakichukua magodoro yao na na kuelekea hostel tayari kwa kufanya UE jumatatu.. Viongozi hao ni pamoja na wenyeviti wa mahall.. Swali ni je wamerudi jumla...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwema wanajamvi? Kama kichwa kinavyojieleza, nilipokea ujumbe kutoka ofisi ya Mshauri wa Wanafunzi saa 3 hivi asubuhi, ikinitaarifu kuwa nisubiri chumbani kwangu niletewe barua yangu. Karibu saa...
0 Reactions
110 Replies
10K Views
:eyebrows: JAMANI I AM TIRED MATOKEO YANATOKA LINI
0 Reactions
2 Replies
854 Views
Jamani tokea nimezaliwa hadi leo nimekuwa mkubwa .....nimekuwa nikisikia udsm kila mwaka lazima kuwepo na migomo na maandamano........lakini vyuo kama ifm,ustawi,cbe,muccobs,mzumbe na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna uhalali wowote walimu wa Bukoba manispaa wa kulipishwa sh.10.000 kwa ajili yq vitambulisho katika zoezi la kuhakiki watumishi au ni mradi wa watu wachache wenye uchu wa pesa.Hii ilitokea trh...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani naomba msaada wa full information na gharama za kujisajili kufanya mitihani ya bodi ya wahasibu Tanzania
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi uko rufiji kukoje?kule ni halmashauri au la,msaada tubadilishane na mtu mimi niende Bagamoyo yeye Rufiji.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwa kwel necta hamjafanya fair ktka usahhshaji coz u hv let dent down
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wanafunzi 45 wametimuliwa shuleni hapo kwa makosa ya kusababisha vurugu na walipokaguliwa walikutwa na silaha kama visu na bisibisi kwenye masanduku yao
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Me nimepangiwa mwanza jiji sijui tunaripoti lini?
0 Reactions
40 Replies
4K Views
natumia laptop dell latitude d 630,ina sehem ya kuweka line ya simu,nimejaribu kuweka line lakini sion alama yoyote ya kutambuliwa na computer,kama kuna mtu anajua namna inavyofanya kazi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi nilikua napendekeza serikali yetu kuunda mamlaka ya udhibiti elimu kama ilivyo ewura.sababu ya ushauri huu ni kwamba sasa hivi garama za shule zimepanda sana kila mtu anafungua shule yake na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
TAARIFA! Nikiwa kama mhanga wa ambao hawajaona majina yao, napenda kusema kwamba, leo nilikwenda Wizarani na nikaambiwa wahusika hawapo hadi jumatatu, lakini nilifanikiwa kuongea na Naibu Waziri...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Heshima yenu wakubwa na wadogo. Jamani mimi nina shida moja, ninatafuat scholarship kwa ajili ya kufanya masters degree. Nimeshafanya application kadhaa ila naona kama nahitaji kuomba kwenye vyuo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana jf wapendwa woote kwa kweli mda wa kurudi zangu kijijini unawadia,wiki hili na la Maandalizi mazito ya University exams na napenda kuwapa taarifa kuwa wale wabishi waliokua humu kwa wiki hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF naomba yeyote mwenye kujua wapi kinapatikana kitabu hiki anisaidie
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika nchi zilizoendelea kuna nafasi za masomi mbali mbali wanazozitoa kwa ajili ya nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania,mimi nipo hapa Havard university nabeba box lakini kuna kitu kimoja ambacho...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wanafunzi wapatao 45 wametimuliwa shuleni hapo kwa madai ya kusababisha fujo na kumiliki silaha
0 Reactions
4 Replies
1K Views
visit website ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi
0 Reactions
19 Replies
12K Views
Back
Top Bottom