Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

...wa kidato cha nne watatakiwa kufanya mtihani wa computer! Nimesikia sasa hivi (saa mbili usiku) taarifa ya habari Radio One. My take: Ukitilia maanani ni chini ya 10% ya Watanzania wenye...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau! Nimeamua kwenda kulima... nimekata shauri kuwa mkulima lakini wa kisasa. Tafadhali naomba msaada wa yeyote mwenye vitabu vya ELIMU YA KILIMO anisaidie. Ikiwa kwenye soft copy itakuwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
POLENI SANA WATANZANIA KWAKUONDIKEWA NAMAMA YE2 B Regina Mtema
0 Reactions
0 Replies
736 Views
A military invention is an invention that was first created by a military.There are many inventions that were originally created by the military but are now used by civilians. 1. Aircraft...
0 Reactions
0 Replies
796 Views
Mambo ni vije wadau! Mi ni mefungua hii thread ili tutengeneze making scheme ya mtihani wa kidato cha nne 2011 kwasababu wanaJF ni Great Thinkers.Hivyo ukikumbuka swali lilete hapa jamvini ili 2...
0 Reactions
15 Replies
11K Views
Kuna tetesi kuwa shule ya sekondari inayoitwa Mwenge open academy imekimbiwa na waalimu wote, Hivi sasa wanafunzi wanahaha, hawajui hatma yao, hasa wale wa kidato cha tano. Wenyw habari zaidi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamani hivi mtu kufanikiwa kielimu na kufika mbali ni lazima usome udsm maana naona wanafunzi wengi wanafikilia kusoma chuo hiki na pia mtu ni lazima usome a-level ili ufaulu uende udsm...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Waungwana katika pita pita yangu, nimekutana na hiki Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji University kilichoko Mbeya. I dont know much about it. Mweye details atupe. But naona hakijapata usajili...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
pande zote za tz ukipokea cm ni swali kuhusu post za walimu wapya.jamani ukweli ni kwamba serikali imejipanga vyema kuwaburuza kwa kutumia ahadi batili hadi watakapo pitisha bajet nyingine.kuhusu...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nawashukuru wana jf kwakuchangia vzr topic ya jana iliyohusu kwanini ccm waingilie elimu?. Leo siko mbali na mada hyo, ndg zangu hebu tutafakari pamoja toka Jk na M7 wazomewe UDSM, mteule wao mkuu...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu elimu yangu ni kidato cha nne,division (iii)ninania ya kusomea IT,kwa njia ya mtandao(on line)kutokana na nafasi yangu kuwa ndogo kuhudhuria darasani,je nichuo gani ninaweza kujiunga nacho...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari Wadau... Hiyo kitu inaitwaje kwa Kiswahili, na hapa Dar naweza kuipata wapi? Nina itafuta sana nimeagizwa, msaada wenu pls!
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Nina electives course zifuatavyo:- a.Collaborative networks and facilitating technologies. b.Human computer interactions. c.Social informatics. d.Object oriented programming with C++. e.Data...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Inasikitisha lakini ndo hali halisi inaojijenga hapo University of DSM. Mtindo unaotumika kukiongoza Chuo hiki sasa ni sawa na shule ya sekondari ambayo kufukuzwa na kuambiwa urudi na mzazi ndo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nawasalimu wanajamvi! Naomba msaada wa yeyote aliye na link itakayoniwezesha kupata "Updated Infos" za: i. Idadi ya madaktari Tanzania na uwiano wa wagonjwa kwa kila daktari ii. Kama kuna...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mambo vp wanaJF wenzangu,Naombeni kuuliza eti ni kweli matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2011 yametoka???
0 Reactions
3 Replies
1K Views
serikali itaanza kuajiri walimu mwishoni mwa mwzi huu,jumla ya watakaoajiriwa ni elfu ishirini,source TBC
0 Reactions
11 Replies
2K Views
waadu angalieni nafasi hizi, mwenye bahati yake aombe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani natafuta mtaalaamu wa computer science ambaye anaweza kunifundisha 1.java na c++ programming na kutengeneza application zake 2.configuring cisco routers and switch 3.web...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
daa! Nadhan wana jf mnazo tetesi juu ya ajira zetu.ebu tupien kile mnachojua kuhusu hili.tumekichoka kitaa
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom