Mzimu posho ni hatari. Wabunge wanaohudhuria mkutano kwa kusaini huwa wanalipwa 10,000/=. Sasa juzi wapo ambao hawakuingia kikao, lakini waliomba wasainiwe. Ubaya listi hiyo imetumika kuwafukuza...
Naibu waziri wa elimu Philipo Mulugo ametangaza kuwa serikali imerudisha mtihani wa kidato cha pili kwa lengo la kuboresha kiwango cha ubora wa elimu ya Tanzania.amesema kuwa mwanafunzi ambaye...
Makamu mkuu wa chuo kikuu cha dsm sehemu ya mlimani Prof Mkandala anafafanua A to Z ndani ya udsm kuhusu kufukuzwa kwa wanafunzi 60.Anasema waliofukuzwa watapewa haki yao ya msingi kusikilizwa...
Hatimae serikali imeamua kuupa hadh mtian wa kidato cha pili,ambapo kwa kuanzia mwaka huu watakaofanya mtihan endapo watafel watakariri DARASA,kiwango cha ufaulu ni alama 30.
Sosi:clouds Tv
Wakuu ninaguswa sana hii tv station na kukerwa kwa jinsi wanavyoonyesha wanyama hai wakiwa bustanini na pia kwenye ma zoo.Mfano utakuta mnyama kama chui ambao asili yao ni Asia na Africa,wanafugwa...
Mim n mwanafunz wa chuo cha ST JOSEPH COLLEGE OF ENGINEERING AND TECHNOLOGY,napenda kuwataarifu wote wenye matatizo katika masomo ya (math&physcs),lakini awe anaish mbez ya kimara muda ni saa...
habari wakuu?
Mambo ya UDSM ndio kama mlivyosikia wakuu...
sasa kuna hizi scholarship za wadosi kama 18 hivi mwaka huu sijaona tangazo kabisa kwenye website yao ie. 12/13...
Nataka niombe...
Kuna tetesi zilizoenea huku mtaani na pale UDSM kwamba hii fukuza fukuza ya wanafunzi ni malipizi ya JK baada ya kuzomea alivyoenda kupewa degree ya heshima. Inasemekana Museven alimuuliza JK...
Toka raisi JK azomewe mwaka jana (2011) pale UDSM kwenye maadhimisho
ya miaka 50 ya kuanzishwa UDSM,kumekua na udikteta unao endelea kila kukicha
nchi nzima kwa vyuo takribani vyote.
Kwa...
Ndugu mtanzania kuna hawa wanafunzi wapatao 48 waliofukuzwa UDSM na kufungiwa Bank Account zao na pia kuondolewa kwenye hosteli za chuo walipokuwa wanaishi, mpaka leo wameshindwa kurudi majumbani...
Taarifa kwa umma kuhusu kufukuzwa wanafunzi 43 chuo kikuu cha dar es salaam. TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUFUKUZWA WANAFUNZI 43 CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM. KIINI CHA TATIZO LA MIGOGORO VYUONI...
Ni jana tu tulikuwa tunasherekea krisimass karibu wakristo wote duniani, ni sikukuu ya kumshukuru Mungu kwa kumleta mwanae wa pekee ambaye alikuja kutuokoa na dhambi zetu, kwa ujmla tunaoaswa...
Sasa kwanini tusiungane kwa pamoja kwa kufanya mkutano wa hadhara na watanzania waliotutuma vyuoni ili kuupinga udhalimu huu wa serikali vyuoni? Wadau tusaidiane kulifikiria hili na tuma maoni...
Naibu waziri wa elimu ndugu ametangaza kuwa wanafunzi wote darasa la saba 2011 waliofutiwa matokeo watarudia mtihani huo septemba 2012. swali ninalo jiuliza kwanini waswape mtihani mapema ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.