Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Makamu mkuu wa chuo kikuu cha Dar es salam prof. Rwekaza mukandala kahaha baada ya kusikia Daruso wametangaza kuna mgomo wa wanafunzi kutoingia madarasani kuanzia jumatatu . Prof mukandala akamua...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Kutokana na wale wanafunzi 48 waliofukuzwa chuo . bunge la serikari ya wanafunzi limekaa na Kupitisha maamuzi ya kushinikiza management ya chuo wawarudishe chuo wanafunzi wote 51. kuanzia...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam(Mlimani) leo wmeandamana kushinikiza uongozi wa Chuo kuwarudisha wenzao waliofukuzwa chuo. Wanafunzi hao huku wakiimba nyimbo mbalimbali za kumsifu baba...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hasira za wasomi zawaka udsm. Kesho ni mgomo wa wanafunzi wa chuo kikuu cha dar es salaam dhidi ya utawala wa chuo hicho kuwataka wenzao 48 waliofukuzwa chuo kwa sababu ya mgomo uliofanyika tar...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
FFU wamejazana chuo kikuu cha dar es salaam ikiwa ni kuzima uwezekano wa shambulizi la kigaidi kutoka kwa wanafunzi hao dhidi ya utawala wa chuo hicho kikongwe hapa nchini. Nawasilisha.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jaman mi naona wakati umefka,mkandala na wenzake wamefukuza wanafunzi ili kuwatisha wanafunzi wengine,MI NINA WAZO Jaman huyo mkandala si kila siku anapita mnamuona au?dawa yake huyo apigwe mawe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kila siku wanagoma kwa malengo tofauti yasiyo na tija, nawakilisha
0 Reactions
19 Replies
2K Views
WANAJF;Tafadhali fungua attachment na usome mwenyewe.
2 Reactions
52 Replies
5K Views
wakuu nimepata text toka kwa jamaa yangu aliyepo UDSM, anadai viongoz wote wa daruso wamefukuzwa chuo.... RDI 16:56 Today Walofukuzwa moja kwa moja ni 13 na suspended ni 86.
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Tamka haya maneno fasta fasta halafu jibu baki nalo mwenyewe Kipi kikusikitishacho Massachusetts
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa walio karibu na Maeneo hayo watujuze...hizi tetesi za kufungwa kwa udsm zina harufu ya ukweli...au uzushi tuuuuuu.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wanashangaza sana,waliahidi kuwa na mgomo mara baada ya shule kufunguliwa lkn had sasa kimya,walimu achen kubip ndo mana serikal haishtuki manake ishawazoea,mkiamua kufanya kitu fanyeni kweli na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Amri kutoka Halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi ya Tanzania mwanafunzi yoyote anayejihusisha na mgomo afukuzwe. JAMANI WANACHUO ACHENI KUGOMA HIYO NI AMRI KUTOKA SERIKARI YA CCM
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mtu mmoja amekufa baada ya mkanyagano kutokea miongoni mwa umati wa watu waliokuwa wakitaka kujiandikisha katika chuo kikuu mjini Johannesburg, Afrika Kusini. source: BBC...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Namfagilia sana jamaa kwsbb haintertain mambo ya siasa na elimu ndo maana hadi leo SAUT pako shwari kwasbb kila kitu kinaamuliwa kitaalam na si kisiasa.Poleni sn ndugu zetu udsm,tuko pamoja sana.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ilikuwa piga nikupige kati ya mwanasiasa John Komba na walimu wa Mbinga.Mh aliwajia juu walimu kwa kushangilia watoto wetu kufeli mtihani wa drs la saba.Walimu nao wakajaribu kutunisha misuli...
0 Reactions
2 Replies
991 Views
Siku hizi shule ya msingi moja kufaulisha wanafunzi wote au 50%+ siyo tatizo tena kama ilivyokuwa siku za nyuma,maana ilikuwa kufaulu mpaka uchemshe sana bongo.Hofu ni kwamba quality ya wanafunzi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Malkia wa Uingereza alimwita ROBERT HOOKE,baada ya ugunduzi wa Hooke's Law iliyopelekea kutengenezwa mashine imara kwa matumizi mbalimbali! R.Hooke aliombwa achague zawadi yoyote ile!Akamtuma...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Jaman hv nan anawajua hawa wa2,wanasema wanadhamn wanafunz wa vyuo vkuu,m n m1 wapo ambae nliaply na walnjb omb langu lmekubarka,na kunahd kuningza mahtaj yangu kwenye a/c,lkn n miez ming imepita...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Somo hili linaendelea toka :- Software Development- Part 3 Katika sehemu hii tutakusanya maswali na maoni ..... Kama umefanikiwa kufanya installation Reply hii post ili nijue... Tukipata 50...
0 Reactions
0 Replies
962 Views
Back
Top Bottom