SHAIRI HILI LINAITWA "KWA WALIMU WOTE" LIMEANDIKWA NA PROFESA KEZILAHABI MWALIMU NA RAFIKI YANGU.
sikilizeni wimbo huu:
nilipokuwa mtoto niliitwa Chacha
kwa matamshi yangu ya sasa
nilipokuwa...
Ni wapi Dar es salaam ninaweza kupata Kamusi ya Kiwahili/Enlish na vitabu vya kufundihsia Kiswahili kwa wale ambao Kiswahili sio lugha yao? Naomba mtu anayefahamu anijulishe tafadhali.
Ndg zangu naombeni direction ya mtu mzima kupata elimu ya watu wazima kama ilivyokuwa ada kwa ndg yangu mmoja aliyetaka nimwulekeze nami nikamwambia awe mpole kwn nitamwelekeza aanze wapi na...
Wale madaktari na watumishi wa afya wa miaka ijayo waliosimamishwa chuo kwa tuhuma za kuwa vinara wa mitafaruku wameanza kurudishwa mmoja baada ya mwingine. Kila m1 anaitwa kwenye kamati ya...
Wadau , Nilikuwa na pita njia ya Kwenda kisarawe kutokea Kilvya pwani, nikakuta shule ya Msing ya Tondoroni ikiwa imesambaratishwa na Tinga Tinga chini ya ulinzi mkali wa polisi. Barabara nayo...
Mlimwa Secondary.
Shule hii ipo kata ya mnadani.
Kwa form 1 wote wanaotarajia kujiunga na Shule hyo.
Mchango wa tahadhari-5000
Mchango wa Ujenzi-15000
Mchango wa Taaluma-10000
Mchango wa...
Madeni yasipolipwa shule hazifunguliwi asema Mkoba
Send to a friend
Wednesday, 04 January 2012 20:53
0diggsdigg
Gedius Rwiza
MVUTANO kati ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) na Serikali...
Mamboz WanaJamvi .......
Ebwana naomba kwa aliyesoma BACHELOR OF IT anisaidie kuorozesha UNITS walizosoma kwa mwaka wa kwanza kwa mtiririko 1st to last unit jinsi ulivyosoma ww kwa semister...
Professor:
Robert Shiller, Arthur M. Okun Professor of Economics, Yale University
Hebu tumia byte zako kwa kujielimisha wewe mwenyewe,goodluck!!!!!!
YALE ECON 252 - Financial Markets with...
Salama ndugu zangu,
mwenzenu naandika thread hii nikiwa na ghadhabu juu ya hii serikali yetu inayotunyanyasa waalimu, nina madai mengi ninayodai lakini nimeishia kusikia ahadi zao kwenye vyombo...
A rich man needs...................
A poor man has......................
If you eat .............u will die. Only one word fill the three blanks. PM me if you have the right answer:A S 465:
Naomba kwa yeyote anayefahamu mambo ya Advertising anisaidie hili kuna topic inaitwa Advertising strategy and Tactics nimejitahidi kutafuta kwenye baadhi ya reference books lakini sijafanikisha...
Napenda kuwapa hongera wahusika kwa kuweza kufanikisha hii taasisi ya elimu kupanda hadhi na sasa kuwa chuo kamili yaani Catholic University of Health and Allied Science yaani wakiwa na course za...
Wizara ya Elimu na Mafunzo ilitangaza kufuta matokeo ya Wanafunzi wapatao elfu 9 waliofanya Mtihani wa Kuhitimu Elimu ya Msingi mwaka 2011 kwa sababu za udanganyifu.Je,Wizara ilifanya uamuzi...
KIINI CHA TATIZO LA MIGOGORO VYUONI:
Tangu kuanza kwa utekelezaji wa sera ya kuchangia elimu ya juu kumekuwepo migogoro mingi inayohusiana na mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu . Ingawa...
Zoezi la kuhakiki uwepo wa kuwalipa walimu hewa pamoja na wale ambao hawafanyi kazi linatarajia kuchukua sura mpya pale ambapo walimu wote nchini watapokelea mishahara yao ya mwezi january...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.