Tangu kuondolewa Tido Muhando kila siku habari za TBC zimejaa makosa ya kipuuzi. Mara habari ikwame, mara utangulizi uliotolewa utofautiane na habari inayo onyeshwa, mara wakosee herufi katika...
Wanafunzi wa chuo cha elimu Udom wamekusanyika utawala mkuu kutaka pesa zao ambazo zimeshafika chuoni,wamesaini lakini hawajalipwa.
Makamu mkuu wa chuo adai pesa zitatoka kabla ya Ijumaa.
Kuna taarifa za kuaminika kuwa mda huu wanafunzi wa kitivo cha elimu UDOM wameanza mgomo kwa maandamano kuelekea utawala mkuu ili kushinikiza malipo ya fedha zao za kujikimu. Hii ni baada ya pesa...
Wanafunzi wanaosomea ualimu kitivo cha elimu Udom wapo mbioni kugoma.
Tukio limeanza jana baada ya kubandika matangazo ya mkasanyiko wa wanafunzi wote katika moja ya mabwalo ya wanafunzi...
Wanafunzi wa kitivo cha elimu wamekutanika katika moja ya majengo ya hostel linaloitwa block F.
Mkusanyiko huo ambao umehitimisha kwa makubaliano kua wakutane kesho sa11 alfajiri kuelekea...
Wakuu
Tutumie uzi huu kuelimishana kuulizana na uhabarishana juu ya masuala mbali mbali kuhusu KALENDA
Kuna kalenda aina ngapi?
Zinafuata mfumo gani?
Tofauti ya aina moja ya kelenda na...
INSPIRE CONSULTANTS LTD, INAWATANGAZIA CPA(T) - REVIEW CLASSES FOR MODULE E & F AT BIAFRA SEC FROM 9TH JANUARY 2012 FROM 1800HRS TO 2000HRS. WOTE MNAKARIBISHWA.
Contact: Joshua +255 717 043486
Wakuu habari zenu,nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana,ila kwa bahati mbaya hakufanikiwa kupata credit,sasa anahitaji kusoma ucc(university computing centre),ili aanze na cheti,diploma...
Pamoja na serikali kujitamba kwamba ni chuo kikubwa ktk ukanda afrika mashariki na kati, hadi leo wahadhiri wa chuo kikuu cha dodoma hawajalipwa mishahara yao ya mwezi disemba. Na hakuna dalili...
Hii ni dhahiri kuwa kuna ufujaji mkubwa wa pesa za wanachuo wa UDSM, Kampasi ya Mlimani kupitia taasisi yao ya uwakilishi, DARUSO.
Bajeti ya DARUSO iliyokuwa Mil. 78 imekuwa supplied na mil. 26...
wanangu wa UDSM chuo cha taifa nawatakieni heri ya mwaka mpya
. mungu atujalie mwakani tuendeleze harakati na madesa kama kawaida yetu. SOLIDARITY FOREVER
Namshukru Mwenyezi Mungu mimi nimeuona mwaka mpya wa 2012.
Mwaka mpya nimeuona baada ya jua kuzama maana ndiyo mpango wa Mungu maana siku huhesabiwa pale jua linapo zama na ndo hivyo Mungu...
Hivi ni kwanini TANZANIA haiwapi kipaumbele WANAUCHUMI kama nchi nyingine? wakati wanauchumi ndo nguzo la taifa ktk uchumi wa nchi.maamuzi mengi (kiuchumi) yaserikali ye2 yanafanywa na watu ambao...
Kwa waliopata kusoma Mzumbe nadhani watakubaliana na mimi kuwa Mzumbe University wanawajali wanafunzi wake zaidi. Kwa list kamili na vyuo vingine labda inaweza kuwa kama ifuatavyo,
Mzumbe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.