Wakuu wa JF !
Am looking to study into AUTOCAD, REVIT and 3ds MAX.
Plz tell me any organization who can teach me, or a teacher who can teach ?
PLZ PM !
Ni matumaini yangu kuwa watanzania wote tupo katika maombolezi ya maafa ya watanzania wenzetu waliopata mafuriko kutokana na mvua zinazoendelea kunywsha.mungu ibariki tanzania mungu ibarikiafrc.ni...
Migomo ya vyuo vikuu ktk mwaka wa masomo wa 2011-2012 umepungua kwa kiasi kikubwa sana.serikali inapaswa kupongezwa kwa hilo.lkn hoja yangu ya msingi ipo palepale kuwa kunauwezekano mkubwa...
Naomba kujuzwa wadau,hawa MU main campus Morogoro wana huduma ya wireless internet kwenye maktaba yao? Mliopo MU au mliopita hapo mnaweza kunisaidia hili swali,merry x-mass to all
nianze na salam kwako !
Sina hakika sana kama jina la ndugu Phillipo mlugo ni geni kwako....
Huyu bwana ni mmiliki wa shule moja iliyopo mbeya inaitwa southen highland kabla ya kuwa naibu waziri...
:lol:viongozi wengi ukipata Historia zao jinsi walivyopata Elimu zao Ukiwemo na Wewe Unayefungua Uzi Huu na Mimi wachache walisoma kwa Msaada wa wazazi wao hasa Elimu za Juu na Wale wale...
Hawa ni wale waliofukuzwa Chuo Kikuu cha Kata ya Ubungo, kutokana na kufunguliwa mashtaka na Jamhuri kufuatia mgomo wa tar 11 Novemba 2011.
Majuzi nilionana na wawili kati yao, wakaniambia kuwa...
Binafsi nashangwaza sana na utendaji kazi wa ofisi ya Admision & DVC- ARC chini ya Prof. Ludovick Kinabo, mana haiji akilini tangu June 2010 tulipo hitimu chuo pale Udom (first intake) hadi sasa...
Wakuu nimekutana na haka ka swali kwenye interview panel.
Is a mosquito wildlife? If,yes Why do we kill them?
If No,why?
Mawazo plse! Nimejibu nilivyojibu!
Baada ya tume iliyoundwa na mh. Raisi kukamilisha kazi yake, ndio matatizo ya mikopo yameongezeka mara kadhaa. Wanafunzi wanaendesha maisha yao kwa kutegemea mikopo wamezidi kutengwa kutoka kwa...
habari ndugu wenzangu,
niko kwenye mchakato wa kuchagua course fupi ili kuboresha CV yangu,kuna course hizi nafahamu ni nzuri na zinakurahisishia kupata nafasi ya kazi popote pale...
Prof. Karim Hirji ni mwanazuoni aliyebobea katika Biostatistics. Zaidi prof huyu, ni miongoni mwa wazalendo wachache waliobaki tanzania, ambao kwao ukweli ndiyo njia kuu ya maisha. Article hii...
Wana Baraza,
ni kwa muda mrefu sasa kumekuwa na wimbi la wazazi wa kitanzania kupeleka watoto wao kwenda kupata elimu ya viwanngo mbalimbali nchini Uganda na Kenya.
Mada hii lengo lake ni...
Chanzo cha migomo vyuo vikuu kwasasa ni kuchelewashwa kwa pesa ambazo kwa sasa hutolewa na chuo husika. Mpaka sasa udom kuna wanafunzi hawajapata hata la kwanza na la hawamu ya pili muda umefika...
Mwanafunzi wa shule ya msingi Kakuyu huko kanda ya ziwa amefukuzwa
shule kwa kumuuliza mwalimu wake wa
Kiingereza ambaye pia ni mwalimu mkuu wa shule hiyo kuwa dagaa kwa Kiingereza anaitwaje...
Sababu kuu ya migomo vyuoni kwasasa ni kucheleweshewa kupatiwa fedha zao ambazo kwasasa zinatolewa na vyuo husika, mpaka sasa udom baadhi bado hawajapata hata la kwanza na la pili muda wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.