UONGOZI wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu John mkoani hapa, umekifunga chuo hicho na kutaka wanafunzi kuondoka chuoni hapo baada ya kutokea vurugu zinazohusiana na madai ya fedha za kujikimu kutoka Bodi...
wana Jf,
hii ni udhalilishaji wa kutisha wa kufunga mwaka.
ni hiv, wizara imetuma barua tar 15 dec ikiwataka wakufunz wote warudi kazini wale walioko likizo na walioko.masomoni kuwa tar 19...
Jamani wasomi hamjambo?Nataka nimpeleke mdogo wangu MUSOMA UTALII COLLEGE TAWI LA TABORA.JE Hivi vyuo visivyo na majina makubwa vinafaa?Vp wakati wa kutafuta ajira atatambulika kama...
This is a list of colleges and universities which do not have educational accreditation.
Degrees or other qualifications from unaccredited institutions may not be accepted by civil service or...
Bila kujali ile shahada yake ya kwanza ya uzamivu PhD,hivi majuzi yaani mwanzoni wa Desemba 2011 Mh. Dk E.Nchimbi alitunukiwa nyingine pale Mzumbe University baada ya kuipigia kitabu kwa muda...
Hii ni kutokana na wanafunzi
kutokupewa bum la pili hadi
sasa na kuna wengine hilo la
kwanza bado, baadhi ya
wanafunzi wameskika
wakisema hawatajali uwepo
wa hati za viapo vya
kutokugoma...
Hii ni kutokana na wanafunzi kutokupewa bum la pili hadi sasa na kuna wengine hilo la kwanza bado, baadhi ya wanafunzi wameskika wakisema hawatajali uwepo wa hati za viapo vya kutokugoma. Ukienda...
Mpaka sasa wanafunzi wote wa chuo kikuu cha mtakatifu john MAZENGO DODOMA nao wamefukuzwa na jeshi la polisi na chuo kufungwa kutokana namadai yao yaliyokuwa yanaendelea kwa siku 2 mfululzo, baada...
Hiki kituko nimekishuhudia leo baada ya ndugu yangu kwenda kwenye hospitali tatu tofauti na kupata majibu ya vipimo vya malaria tofauti kwa 'case' moja ile ile.
Kwamba alienda kwenye maabara A ya...
Ndugu wana JF nimepata taarifa chuo kikuu cha st.john kimefungwa ghafla baada ya wan. kushinikiza walipewe pesa zao za kujikimu. Kwa taarifa iliyotolewa hapo kinasema wanafunzi wanaoishi hosteli...
Lile lindi la migomo vyuoni linaendelea. Leo chuo Kikuu cha St. Johns (zamnia Mazengo secondari) kimefungwa baada ya kuwa na mgomo baridi kwa muda sasa. Kimefungwa hadi tarehe 2/1/2012.
Source...
Hello jf!!eti ni kweli watu wanaograduate mzumbe,pindi wanapoenda kufanya masters kwenye vyuo vingne,wengi wao huwa wanafeli ukilinganisha na wenzao waliotoka udsm na sua,kama ni kweli tatzo ni...
WanaJF ninashida na historia ya sheria ya ndoa,kama unavyanzo vya habari na vitabu vya mtandaoni naomba uniwekee hapa,maana nimegoogle ngoma nzito na kuna report naandika,
Dear all,
Experienced experts in proposal writting, dissertation editing and general help available for you at a very affordable cost. In case you are in need for such help you simply give us a...
Baraza la elimu limetangaza kuwafutia wanafunz zaid ya elfu tsa matokeo yao ya darasa la saba:sawa wamekosea kuigiliziana lakini wanafunz wte hwa wataenda wap 2kumbuke kwamba sio wazazi wote wenye...
Wadau nisaidieni kwa kuweka mtihani mwingine baada ya watoto kufaulu na kupangiwa shule ili kuendelea na masoma ya sekondari ni kufuta mtihani wa taifa? Mbona sielewe tunaenda wapi? Kwenye mfumo...
Wakuu
karibu tujaiaine kuhusu
mafanikio
Mapungufu,
changamoto na mambo mbali bali kuusu elimu inayotolewa Tanzania.
Katika mada hii tuwe huru kuongeza mitaaala, wazazi, shule na wanafuznzi...
Habar za jion wakuu?eti jamani mshahara wa mwez uliopita nilikatwa 65000 nikafuatilia walimu wenzangu wachache nao wakadai wamekatwa kama mimi! Tulivyofuatilia tukaambiwa ni toka hazina je nani...
wanafunzi wa UDSM wamewasaliti wenzao waliofukuzwa kwa kuendelea na masomo huku haki za wenzao zikikandamizwa, hii ni tofauti kabisa UDSM inayojulikana kwa kutetea haki za kila mwanafunzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.