Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kwa wale mnaokuwa na projects halafu mnatumia MLA, APA etc, hii itakurahisihia kazi na kukupunguzia muda, just copy the link and paste it, boom you got all the citations, ni very helpful...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The Observer (Kampala) Polly Kamukama 11 December 2011 Uganda's pupils have one of the worst reading cultures in Africa. And when it comes to mathematics, the performance is equally dismal...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Taarifa ya habari toka TBC Taifa ya saa tano usiku wa jana imemnukuu naibu waziri wa elimu kuwa matokeo rasmi ya darasa la saba ya mwaka huu (2011) huenda yakatangazwa leo muda wowote. Taarifa...
0 Reactions
19 Replies
93K Views
Global Undergraduate Scholarships for International Students at York University - Canada The University of York offers Global Leader of Tomorrow Scholarships and International Entrance...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanachuo wa St.JOHN's Dodoma wamesaini hela ya boom mbele ya maafande baada ya kushinikiza kwa mgomo. Kumbe mgomo una matokeo chanya wakati mwingine.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nina wasiwasi na elimu ya Tanzania, naimeshindwa kujua kabisa hivi elimu yetu inapanda au inashuka?, Matokeo yote yana utata mtupu au ndo wanajaribu kuingiza siasa katika taluuma na kama iko hivi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Siri ya kufukuzwa Wanachuo nje *Chadema yaibua nyaraka za CCM, yasema inahusika *Heche adai ni hasira za Kikwete kuzomewa Mlimani Na. Waandishi Wetu SIKU chache baada ya kufukuzwa kwa takribani...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
One of the International school hapa moshi inacharge fee namna hii na hata kule Arusha zipo shule kibao za hivi, Dar ndio usiseme, Mwanza nako mpaka Shinyanga kweli wanatoa elimu inayogharimu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimekuwa nikijaribu kujiuliza maswali mengi kuwa nini itakuwa hatima ya hawa watoto waliofutiwa matokeo juzijuzi na NECTA....ndo wameishia hapo au kuna nafasi ipi tena kwao kielimu? Je, ni wao ndo...
0 Reactions
0 Replies
37K Views
Wanafunzi wa Chuo Kikuu huria cha Tanzania Makao Makuu, Kinondoni Dar es salaam, wameziba mlango wa kutokea wa block D, ambayo yaonekana ndilo jengo la utawala wanadai mikopo, wanasema hawaondoki...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Gazeti la Citizen leo hii limebeba habari muhimu kwa wale wanaotaka kustrahe katika sehemu mbalimbali hapa nchini siku ya krismasi. KuhuZunisha ni kwamba gharama za mahoteli zimeongezwa marudufu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna mkoa mmoja nimeenda nikakuta kuna watu wanafundisha watu wanaotafuta CPA lakini hao walimu wenyewe hawana CPA, inakubalika hii? Au kama mtu amesoma finance anaijua vyema anaweza kufundisha...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
...Kama ulishuhudia kauli ya VC wa University of Dar-es-salaam Profesa Mukandala wakati anaongea na vyombo vya habari kuhusu kuwafukuza wanafunzi takribani 40 na kitu unaweza kulia.Kauli zake ni...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Tafadhali kama kuna mtu anayefahamu namba za simu za bodi ya mkopo zinazopatikana maana natumia zlizopo kwenye internet hazipatikani na muda wa kujaza form za kuappeal unaisha .
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Matokeo ya mitihani wa darasa la saba yametoka na Mkoa wa Dar es Salaam umeongoza kwa kufaulisha ukifuatiwa na jiji la kitalii, mkoa wa Arusha. Cha kushangaza ni kwamba idadi kubwa ya waliofaulu...
2 Reactions
29 Replies
199K Views
Kesho trh 17-12-2011 ni graduation day taasisi ya uhasibu tanzania,mahafali hayo yatafanyika "national main stadium"
0 Reactions
3 Replies
2K Views
nimefurahishwa sana na jana jinsi wanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma walipofanya ziara ya kutembelea kitua cha watoto yatima miyuji nje kidogo ya mji wa dodoma walipeleka zawadi mbalimbali kama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Philipo Mulugo nw wa elimu na mafunzo ya ufundi stad kasema wasiripoti shuleni na watakaoripoti wapewe mtihani wa kusoma kwanza Hivi inakuwaje mwanafunzi afaulu kwenda sekondari pasipo kujua...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
TAMKO KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU KUFUKUZWA . UTANGULIZI: Kwa miaka ya hivi karibuni Vyuo mbalimbali vimekua na tabia ya kuwafukuza ama kuwasimamisha masomo...
3 Reactions
51 Replies
5K Views
Back
Top Bottom