Kwa Wadau Wote: Kwa kuwa naamini kuwa inawezekana naweza kuwa nakosea, na kuwa nimesikia au najua kupitia vyanzo mbalimbali kuwa anayejiita "DR" MBWAMBO, ambaye ni Dean wa Mzumbe University Dar...
kwa waliosoma marketing, naomba msaada wa competitive business plan yoyote nzuri!!kuna term paper naandika na nahitajika kuwa na knowledge ya business plan kidogo, mimi sijawahi kuandika business...
KTK ule mwendelezo wa sheria kandamizi ndani ya vyuo vyetu hapa nimetoka kukabidhiwa barua ya suspension kwa muda usiojulikana kwa kosa la kufanya maandamano tarehe tajwa hapo juu. Suala...
Wanafunzi waliofutiwa Matokeo wasiachwe.
Wamepotoshwa na watu wazima waliopewa mamlaka ya kuwalea na kuwasimamia.
Waliohusika wote wachukuliwe Hatua.
Hawa watoto wasiharibiwe maisha kutokana na...
Waja JF mnisaidie. Kama siku mbili zimepita nilisikia magazetini kuwa mkoa fulani wamepatikana wanafunzi wengi wa shule za sekondari hawajui kusoma na kuandika. Hivi, wamefikaje sec.? Mtihani wa...
Honorable reader! I solute you!, Today I've two things to share with you; we've been working on our site for quite long, just to make it more useful and sustainable, and now we're happy to...
kuna chuo kinaendesha kozi mbalimbali kwa njia ya distance learning,fatili www.MUSTuniversity.com
nilitaka nisome ka-kozi kamoja lakini nakua na wasiwasi je hakuna utapeli?maana unawatumia ada...
Baada ya Udsm sasa ni IFM kumng'oa rais na BAATHI ya viongoz wa mpito ambao walipewa wiki 3 za kuongoza ili kupisha uchuaguz mpya baada ya kesi ya kupinga uchaguz kuisha!
1.Ametumia sh milioni 30...
Wadau,
Natafuta Mwalimu wa kufundisha twisheni kwa mwezi mmoja tu!!
Masomo ni Hisabati na English,
Darasa la Sita, La Nne na La Kwanza,
Malipo ni Tshs Laki 4 kwa kipindi chote cha huo mwezi...
viongozi wa serekali ya wanafunzi chuo kikuuu cha dodoma imefwananishwa na bendi ya taarabu kwa mfano viongozi hao ambao ni wabovu ambao hawajawahi kutokea taangia chekechea na shule za msingi...
Wanafunzi wa st joseph collage of engineering & information technology wameanzisha mtiti kufuatia kuchelewa kwa mikopo yao. Inasemekana kwamba tayari bodi ya mikopo wamesha toa mikopo kwa...
kutokana na kile walichokiita ufisadi na uzembe wa serikali ya wanafunzi, uma wa udsm umeadhimia kuiondoa daruso rasmi kuanzia kesho,kwani tokea migomo na maandamano vianze daruso aijawai...
HALI NI MBAYA UDSM WANAFUNZI WANAANDAMANA WAKIPIGA KELELE HUKU FFU WAKIJIANDAA KUFANYA KAZI YAO,............WANADAI WENZAO WAACHIWE HURU,....DAAAAAAAH NGOJA 2CHECK ':shock:
Wiki iliyopita nilienda shule moja mjini Dodoma kuomba fomu za kujiunga na shule. Hiyo ni shule yenye mlengo wa imani ya kikristo na kila kitu pale kinaendeshwa kikristo kristo.
Moja kati ya...
Wanafunzi wa chuo kikuu cha dsm kwa pamoja na kwa kutumia nguvu ya umma,wamefanikiwa kuulazimisha utawala wa chuo kubadili maamuzi yake ya kuwasimamisha wanafunzi zaidi ya 40 kutokana na...
Salam zangu ziwafikie, mimi mpaka leo cjapata vile vijisent vya kujikimu. Mtoto wa kimaskini mimi mwataka nife? Ofisi ya mkopo hapa chuo wanadai hujawatumia pesa zangu ni kweli? Nakuomba ule...
kwa tetesi nilizozipata kutoka chanzo kimoja ni kwamba matokeo ya mitihani ya darasa la saba na form 4 ya mwaka huu yanayotegemewa kutoka hv karibuni ni kwamba kiwango cha ufaulu kimeshuka...
naombeni mnisaidie ..hichi chuo cha IFM kwanini watu hawaoni jinsi maslahi ya kipesa yalivowekwa mbele?dharau walizonazo wahadhiri ambao ni vijana tu kwa vijana wa watu waliokuja kutafuta maisha...
Kitivo cha sheria UDSM wameadhimisha miaka 50 lakini ni aibu tupu.Leo kupitia TBC 1 kipindi cha This week in Perspective kinachoendeshwa na Adam Sembaye.
Kilichonishangaza kuwa panels ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.