Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Five men crash-land their airplane on a deserted island in the South Pacific. On their first day they gather as many coconuts as they can find into one big pile. They decide that, since it is...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimesikitishwa sana na kauli ya Naibu Wazili wa Elimu kuwa wanafunzi watakaobainika kuwa hawajui kusoma na kuandika na wamefaulu kwenda sekondari, watarudishwa na kisha walimu wa shule walizotoka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
John Heche TAMKO KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU KUFUKUZWA . UTANGULIZI: Kwa miaka ya hivi karibuni Vyuo mbalimbali vimekua na tabia ya kuwafukuza ama...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa anaye fahamu chuo kinachotoa Masters in Project Management hapa Dar... Na hasa iwe ni evening progromme. Asanteni kwa Msaada wenu wadau. Tuwasilisne hapahapa!!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Maoni ya katuni Jana Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, ilitangaza matokeo ya mtihani wa taifa wa darasa la saba, yakionyesha kuwa kiwango cha ufaulu kwa mwaka huu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baadhi ya madaktari na Manesi katika hospitali ya Mt .Meru Arusha wamethibitika kufanya kile ambacho watu wengi wamekuwa wakikilalamikia licha ya wao kuendelea kukana uovu huo. Imedhihirika kwamba...
1 Reactions
168 Replies
23K Views
Wadau habarin za w/end,naomba kujuzwa,kwa anayejua mitihan ya toefl hapa nchini tanzania inafanyika wapi na wapi? Ni mikoa gan wana centers zao? Michango yenu tafadhali,
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Kuna tetesi kuwa wanafunzi zaidi katika chuo cha afya na sayansi shirikishi watafukuzwa na wengine kusimamishwa masomo mbali na wale 66 kutokana na kuhusika kwa namna moja au nyingine na mgomo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tape video za wanafunzi wa chuo kikuu cha muhimbili walioshiliki kwenye mgomo wa tar 8 na 10 december na kuzuia research day na mahafari ,mkuu wa chuo cha mkwawa amewatangazia wanafunzi wake...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimekutana na hii story kwenye Tanzania Daima, nimebaki nashangaa. Ni lini serikali yetu ilifanya research na ku-come with this finding. Soma mwenyewe. Mkuchika akataza simu shuleni na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
The Goverment of Tanzania should stop micro manage every business in the country instead they should focus on their responsibily which is to monitor quality of all education Institutions in...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Selikar ya Tz bwana! Inategemea miujiza katika kuboresha elimu. . Baada ya matokeo ya la saba serikal yatoa tamko kwamb mwanafunz aliye fauru na hajui kusoma na kuandika hasripot katka shule...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
SIKU moja baada ya Chuo Kikuu cha Dares Salaam kuwafukuza wanafunzi 43 , Uongozi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas), umewasimamisha masomo wanafunzi 66 kwa tuhuma za...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana JF... Ninatafuta Mwalimu wa kike au wa kiume wa kunifunza kusema kiarabu cha kawaida (sio cha dini, sio cha biashara wala academic). Mi mwenyewe ni mtu napenda sana kujichanganya, niko...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Matokeo ya darasa la saba yametangazwa na kuonesha wanafunzi 67567 wemefaulu sawa na asilimia 58.28% kati ya wanafunzi zaid ya laki tisa waliofanya mtiani huo mwaka huu. Hivyo kufanya ufaulu...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Ni muda mfupi ulio pita,wana UDSM tukiwa tunafurahia pesa kutolewa maarufu kama boom,chuo kimetoa maamuzi ya kuwafukuza chuo moja kwa moja wanafunzi wote waliohusika na kuhamasisha mgomo. Ni...
0 Reactions
99 Replies
10K Views
Kumekuwa na huu mkanganyiko ,mimi nahisi ni halali kwani ile ni sadaka za DINI HUSIKA hivo haitegemewi zisaidie mfano tuseme mbudha,rastaman e.t. kwani nao wanasadaka zao NA WANARUHUSIWA KUJENGA...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
15 DECEMBER 2011 Na Salim Nyomolelo *Prof. Mukandala atoa onyo kwa wengine waliobaki CHUO Kikuu cha Dar es Salaam Kampasi ya Mlimani, kimefukuza na kuwafutia udahili wanafunzi 43 kwa kosa la...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
-Habari ya sasahivi wana Jf na watanzania.Poleni na hongereni kwa kazi za kujenga taifa. Ni matumaini yangu wengi wetu kama siyo wachache mmesikia kuhusu kufukuzwa chuo kwa wanachuo takribani 51...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakati wa kuadhimisha Miaka 50 ya uhuru wa Tanzania Bara Ubalozi wetu hapa nchini Uingereza wakishirikiana na Chuo kikuu cha mji Coventry wanapenda kuwatangazia wadau wote wa elimu kuwepo kwa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom