Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kwa wale wenye fununu za matokeo kidato cha nne watujuze
0 Reactions
25 Replies
4K Views
wana jf ebu tupien mnachojua kuhusu ajira za walimu coz tumekichoka kitaa na serikal haipo waz.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
4m 4 result vip jaman
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Nimeshangazwa sana habari hii iliyopewa uzito wa juu na kukolezwa wino kwenye Gazeti la CCM (uhuru) leo.. Gazeti ili linadai lime wahoji wasomi hao, nanukuu "siri ya mgomo wa wanafunzi wa chuo...
0 Reactions
106 Replies
8K Views
Naomba kwa yeyote mwenye format ya write-up ya kusajili NGO
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jaman me hata sielewi kuhusu haya matokeo ya kidato cha nne.Mana nasikia Wizarani yametoka lkn kwenye mtandao bado.Kama ni ivyo mbona vyombo vya habari havijatangaza kama Matokeo yametoka?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa Kigoma,amesema kila kiongozi mkoani humo kuwa na shamba la mfano. My take:Tanzania nzima viongozi wote wakiwa na mashamba ya mfano,hii nchi itapiga hatua sana badala kila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana Jamii wenzangu. Tumekuwa tukishuhudia migomo kila kukicha. Kuna wasomi wametafiti muda mrefu lakini politics zinafanya mambo ya msingi hayashughulikiwi. Migomo imeanza toka University of...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Serikali ingefanya liwezekanalo kuurejesha mtihani wa kidato cha pili,maana watoto wa siku hizi wanamaliza f.4 hata kuandika insha kidogo hawawezi.Kwa kifupi wengi wanamaliza wakiwa vilaza zaidi...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimekuwa najitahidi sana kufuatilia habari hizi za wizi wa mitihani ya std vii,ni kweli kuna wanafunzi wamefutiwa matokeo yao na pia kuna taarifa kuwa watapata nafasi ya kurudia mitihani. NAOMBA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tafadhali fuata link hiyo hapo chini/ please follow the link; http://www.4icu.org/topAfrica
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu zangu huu ni mtandao wa kuandika ukweli hata kama ukweli hautakuwa na ushabiki. Kitendo cha kuna migomo kila siku kwenye vyuo vya Tanzania ni swala la kisikitisha na tatizo kubwa kwa mawazo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna kijana ana division II CBG,anaomba mwenye mapenz mema amsaidie kumlipia ada mil 1.5 kwa miaka 4.ktk degree ya UKUNGA (BSC.MIDWIFERY NURSING) MWENYE MAPENZ MEMA TAFADHALI!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watakaofeli mwaka huu kurudia darasa Kiwango cha ufaulu sasa ni alama 30 Serikali imetangaza rasmi kuurudisha mtihani wa kidato cha pili kwa shule zake na binafsi kwa lengo la kukabiliana na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa kweli hawa majamaa wana-raha kwelikweli,manake katika miezi mi4 ya semester 1,wenyewe wanasoma miezi mi2 tu.Miwili yote hekaheka za migomo...!nahisi Tanzania mzima wao ndio wananyimwa haki...
1 Reactions
111 Replies
11K Views
Ndicho chuo ambacho kinatarajiwa kutoa wataalamu wa fani ya madini nchini. Unaweza kutembelea tovuti yao HAPA Kwa miezi ya karibuni (kama siyo miaka) chuo kimejikuta kikiwa na matatizo mengi hasa...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Kutokana na vaga la fukuza fukuza linaloendele mpaka sasa katika chuo kikuu cha Dar es salam na Muhimbili limewafanya wanafunzi waishi maisha ya hofu na uoga , wengine wakiogopa hata kujipitisha...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Do you want to develop your Business Idea? Or, are you interested in developing your Business Plan for your Idea? As a Partner Organization to International Labor Organization (ILO), Genesis...
0 Reactions
0 Replies
995 Views
TANZANIA HIGHER LEARNING INSTITUTIONS STUDENTS' ORGANISATIONOFFICE OF THE CHAIRPERSON TAHLISO P.O BOX 474 MOB: +255754754417 +255717213600...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Baada ya kuifuta kwa miaka kadhaa, Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Mafunzo na Ufundi imetangaza kuirejesha tena hadhi ya mtihani wa Kitaifa kwa kidato cha pili kwa shule zote za Sekondari za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom