Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

waliomaliza galanos form 4 2008, kiumbe wetu bwana chande bausi ametutoka:A S embarassed::A S embarassed:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba wana jf mnifafanulie maana ya huu msemo, "kukosa mwana na maji ya moto". Natanguliza shukurani.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Ubure Wa elimu ya msingi uko wapi Kama michango ni lazima., ni wazazi wangapi ambao hawawezi kulipa michango Hiyo (elfu 20-40) zikitofautiana shule mbalimbali..? Kila mtoto Ana haki ya elimu, je...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Hali ya ujuzi wa Hisabati kwa vijana wetu inatisha. Hali ni mbaya sana kwa ngazi zote hasa kwa shule ya Msingi na Sekondari. Kwa mfano zaidi ya asilimia 65 ya vijana wanaochaguliwa kuingia...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
“When talking aboutSecondary School Expanding, we are very quick to say that the people will putthe buildings by their efforts. But the buildings are less important…. Theimportant things in...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naomba Kufafanuliwa Ufunuo 13:1-18 na 17:1-1815 Jun Bwana Yesu asifiwe wapendwa!Mimi ni mfuasi wa Yesu ambaye nimeokoka na niliamua kuachana na mambo yote ya kidunia na kumfuata Yesu. Nimekuwa...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Nakelwa sana na baadhi ya wanafunzi na wanavyuo kushindwa kutunza usafi ktk taasisi hizo. Kwa mfano: utumiaji wa vyoo ktk hali ya usafi,uharibifu wa mabweni, hostels,madarasa na samani zilizomo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana JF mlosoma Moshi sec miaka ya 80, nawatangazia msiba Madesho wa Madesho hatunaye tena. Jamaa alitoka kwenye zoezi jana jioni akiwa njiani akajisikia vibaya akampigia mkewe simu. Alipelekwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
> 1 x 9 + 2 = 11 > 12 x 9 + 3 = 111 > 123 x 9 + 4 = 1111 > 1234 x 9 + 5 = 11111 > 12345 x 9 + 6 = 111111 > 123456 x 9 + 7 = 1111111 > 1234567 x 9 + 8 = 11111111 > 12345678 x 9 + 9 = 111111111 >...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
wana jf natafuta kitabu kiitwacho microeconomics with calculus kimeandikwa na waandishi wawili lakini namkumbuka mmoja tu anaitwa elizabeth hoffman,yeyote ambaye anacho na yupo tayari kuniuzia...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
jamani kwa wale waliofanikiwa kujiunga na taasisi za elimu ya juu! nadhani mtakubaliana na hoja yangu kwa asilimia mia!!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
To accomplish great things, we must not only act,but also dream, not only plan but also belive.Best wishes for your exams. ​
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimekutana na hii tafsiri ktk TV ya kenya ta K24. Kuna chuo kikuu kimefanya mahafali yake. Wamesema mahafali ya chuo kikuu ambapo mahafala 5000 wamehitimu. Mnaojua kiswahili, jamani, hivi...
0 Reactions
18 Replies
10K Views
Ni jumatatu nyingine tena kikundi kimoja cha kidini (waislam),wamesababisha kutoweka kwa amani baada ya kuanzisha mgomo kwa lengo la (a)kudai kunyimwa kupatiwa eneo la kujenga msikiti shuleni...
1 Reactions
78 Replies
12K Views
Waalimu wanaosahihisha mitihani katika Chuo cha Ualimu, Mandaka katika Mkoa wa kilimanjaro wameingia mgogoro na serikali na wanataka kugoma kuendelea kufanya kazi hiyo baada ya pesa waliyokuwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Leo tar. 25 na kesho tar 26 kutakuwa na mahafali ya pili ya chuo kikuu cha Dodoma, hongera kwa wahitimu wote na watu wote mnakarbshwa. Changamoto; Je, elimu itolewayo inakidhi mahitaji ya soko...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Habar wana jf,naomba kuuliza, et mwalimu wa degree,anaeanza analipwa sh ngap? Serikaln' kama take home au basic kwa ujumla'
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TANZANIA NI NINI KATI YA HAYA MAJIBU 1 jamuhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar 2 jamuhuri ya muungano wa tanzania 3 jamuhuri ya muungsno wa tanzania na zanziba
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau, Kuna mtu kapoteza cheti cha O-Level na A-Level (CSEE na ACSEE). Nimemwambia aripoti kwanza polisi awe na loss report ya polisi (sina hakika na taratibu) then aende nayo NECTA akadai vyeti...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Naombeni kueleweshwa kuhusu taarifa zilizosikika kwenye vyombo vya habari kuhusu ajira 23,000 za walimu kuwa wataajiriwa kwenye bajeti ya mwaka 2012/2013, je ni za hawa 23700 walioahidiwa...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Back
Top Bottom