'Observation' nilioifanya kwa muda-sio sio mrefu sana-nimegundua kuwa watu wanene/obesse-sio wote-wana tatizo kubwa la kuwa na uwezo 'mdogo' wa kufiiri na kufanya maamuzi. Nimetamani kujua, toka...
hivi chama cha walimu tz kutangaza mgomo wa walimu nchi nzima mwakani baada ya likizo utafanikiwa kweli, wamejipanga? maana nijuavyo mimi migomo mingi imeshindwa kuleta mabadiliko kutokana na...
Kutokana na madai yetu kupigwa kalenda kila mara tugome kisaikolojia,kama una vipindi 50 fundisha 4 tu kisha nenda katafute mahali pengine;Kumbuka kisingizio cha ugaidi ndio sababu ya kuzuia...
Wadau kuna kijana amemaliza form 4 mwaka 2006 akapata div 3 ya points 23 kwa mchanganuo wa civics B, history C, geography D, Kiswahili C, English C, Biology F, Math C. Mwaka 2010 akasoma cheti cha...
Habari zenu wana wa JF, kwanza nianze kusema sorry kwa sababu huwa sipendi kufananisha vyuo lakini kwa hili naomba niliseme. Jumamosi ya tarehe 26/11/11 kulikua na mahafali ya 13 ya chuo cha SAUT...
Kwa muda sasa wahadhiri waliohitimu masomo yao ya shahada ya pili na kupandishwa madaraja yao kitaaluma na chuo. Cha kusikitisha ni kuwa wahadhiri hao wana mwaka mzima sasa hawajalipwa mshahara wa...
Chinese Government Scholarship is a scholarship set up by the Chinese government to facilitate students and scholars from all over the world to conduct their study and research in Chinese...
Idadi kubwa ya wanafunzi wa UDSM hawajalipiwa ada katika vipindi tofauti vya masomo. Na wengi wameshindwa kufanya clearence kutokana na madeni hayo. Bodi wamepelekea invoice toka 3-10-2011, lakini...
Willium lukuvi alikuwa ni miongoni mwa vigogo ambao inasemekana ni mafisadi wa elimu. Kwamba elimu zilizopo kwenye maelezo yao binafsi, cv, si ya kweli na kwamba kupitia hayo maelezo, baadhi yao...
Ni dhahiri kuwa watanzani wengi wanapata matatizo mengi kwa kutokujua sheria.
Kwasasa sheria inafundishwa kwa wale tu wanaoenda kuifanyia biashara na si kwa matumizi ya kila siku.
Napenda...
..Naomba nianze kwa kunukuu maneno ya Profesa Isaa Shimvji akielezea wajibu wa msomi katika jamii alipokuwa akizindua kitabu cha MAKUADI WA SOKO HURIA kilichoandikwa na Profesa Seithy Chachage...
kuna ndugu yangu 1 amesoma certificate ya journalusim and mass communication sasa anataka kusoma diploma ya ki2 kingine tofaut na hiki.Je,anaweza soma nn? Na chuo kip ni kizur kwa hapa Dar...
Wana jf mimi nikijana mwenye umri wa miaka 19 nimeshindwa kuendelea na masomo yangu ya sekondari toka mwaka jana kwa sababu ya uduni wa maisha katika familia yetu, nahitaji sana kusoma lakini...
Kwenye mjadala wa Sheria ya kuunda katiba mpya, wengi tulishuhudia dhana ya kiswahili kuwa lugha muhimu ktk mawasiliano miongoni mwa watanzania ikitamalaki.
Hata hivyo, imekuwa ni ngumu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.