Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Katika kuadhimisha miaka hamsini (50) ya Uhuru wa Tanzania Bara, Umoja wa Wanafunzi Walimu (UDSTA) Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa kushirikiana na Shirika la HakiElimu wameandaa kongamano kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
This article appeared in the Guardian on November 20th Which way Mathematics? By Guardian on sunday correspondent 20th November 2011 About 30 years...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu nilikuwa naomba kujua ASSOCIATED DEG​REE ni degree ya aina gani (weight yake)
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau wa elimu natumaini mko sawa. Mwenzenu niko ktk field ya elimu. Najaribu kujiendeleza kwa njia ya masafa. Nasoma M. Ed (Adm, Planning & policy Studies- open university) Material ya 'education...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jamani habari nilizozipata toka kwa wanafunzi udom kuna hali tete
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Gates Cambridge Scholarships for International Students 2012-2013 Gates Cambridge Scholarships is now open to international students around the world. Pursue a BS/MS/PhD Degree in any...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Dear Friend if you need to study while at home/work, try to find out in the link below (you can PM me for more information) If you do enrol as a paying student, we will both be entitled to...
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Jamani embu nishirikisheni uzoefu wenu kwa shule mlizosoma au ambazo mnazijua zilizofanikiwa kwenye masomo. Je, wanafunzi wanapimwa mara ngapi kwa term (mitihani)? Na je,ni % ngapi hutolewa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
HELLO NDUGU ZANGU WANA JF NAWAOMBEENI MWENYE MADESA AU NOTE ZA CPA YA SOFT COPY ANISAIDIE NIWEZE KUZIPATA.NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU,E-MAIL,orissa1985@yahoo.com
0 Reactions
0 Replies
2K Views
chek hapo and do the needful.. College Scholarships, PhD Scholarships, Postdoctoral, Graduate International Scholarships Fellowships
0 Reactions
0 Replies
849 Views
Anybody interested in learning ArcGIS 9x and is in Dar es Salaam, can register by sending me PM.
0 Reactions
0 Replies
810 Views
nimechaguliwa kujiunga na masomo ya diploma in iformation technology,tatizo nililonalo ni ukosefu wa ada,sina wazazi na ndugu uwezo wao mdogo.naomba msaada wenu watanzania.mawasiliano zaidi 0659...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Awe na Masters au Post Graduate na pia awe Arusha
0 Reactions
2 Replies
909 Views
Furaha ilioje UDSM! baada ya wanafunz 41 waliokamatwa na wengine waliojikamatisha wamekutana Rev Sqre na kuwashukuru wote walioshirik mgomo barid wa kutoingia darasan kwa malengo ya kuwarudisha na...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Naomba kama kuna mtu anayejua taratibu za kujiunga. Regstration, fees etc. Natanguliza shukurani.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau,hali imezidi kuwa mbaya hapa udsm leo baada ya ving'ora vya police kutawanya wanafunzi wanaosemekana eti walikua wamemteka ofisa usalama wa taifa na kumpa kichapo..lolote linaweza kutokea...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
The departments of Systems Innovation, Nuclear Engineering and Management and Precision Engineering in Graduate School of Engineering, The University of Tokyo, offer advanced study and research...
0 Reactions
0 Replies
963 Views
habari za wakati huu waheshimiwa!jaman naombeni mnisaidie nipate mfadhili wa masomo yangu ya chuo,nimechaguliwa kujiunga na chu flani hapa nchini kuchukua bachelor of economics with finance lakin...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
jamani ndugu zangu mimi nauliza kama hiyo kozi ya human nutrition pale SUA kama ina soko? Mana nataka niichange
0 Reactions
23 Replies
14K Views
Jamani hebu sikieni hii! Zaidi ya wanafunzi elfu moja waliojiunga mwaka wa kwanza mwaka 2011, hawana mkopo chuo kikuu cha Dar es salaam wataishije? wengine wamelazimika kughairi mwaka. leo...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom