Ni maandamano ya amani kupinga kitendo cha serikali kuwanyima mkopo wanafunzi na pia matatizo mengi ambayo yameikumba elimu ya juu Tanzania. Ni leo asubuhi yataanzia mabibo hostel na campus halafu...
Ule mchakato wa kugoma kwa wana-udsm umetimia nanukuu site moja hivi inasema "BREAKING NEWS.Chuo kikuu cha Dar Es Salaam wagoma kuingia madarasani,FFU waenda kutuliza ghasia!" nukuu hii ni ya...
Sababu kubwa ya mgomo ni kupinga system mpya ya wanafunzi wanao endelea na masomo kujisajili kwanza then ndo wapewe bum.source,mimi mwenyewe,nlikua rev square.
Wakuu habari zenu.
Kuna vyuo(vya afya) vina utaratibu wa kuanza kutoa mafunzo maalumu kwa wanafunzi wake katika speciality husika mfano GINECOLOGY,NEUROSURGERY n.k wakati...
Serikali inatarajia kuajiri walimu wapya 23,027wa ngazi ya Cheti, stashahada na shahada katika Halmashauri mbalimbali hapa nchini. Walimu hao wa shule za msingi , yaani ngazi ya cheti ni 10,595...
Nimetumiwa form ya Mtech, hembu soma hiki kipengele then:
References
For master applicants: Give the name of two academic or professional referees. State their function and give complete...
Dear All,
Institute of Management and Entrepreneurship Development (IMED) in
collaboration with Association of Business Executives (ABE) UK, invites
applicants for Certificate and Diploma in...
Reading is considered one of the best habits that one can inculcate in him. Being the best hobby one can have, it has nothing to lose but one can gain tons of knowledge from it. It is best when...
Wadau naomba mnielimishe kuhusu huu mfumo ambao tumeuanza yaani kutoka analogia kwenda digitali.Sijaelewa TV zetu za hapa ndani itakuwaje,maana inavyoelekea kila kituo cha tv kitakuwa na...
Wadau, mimi ni mpenzi mkubwa wa kujisomea hasa majarida, vitabu na magazeti mbalimbali. Na vyote hivyi inakuwa si rahisi kuvipata kwa unafuu na ndipo linapokuja swala la kwenda maktaba ambapo...
Tuchangie Elimu sasa.
Kuna sababu gani ya kuchangia mamilioni ya hela kwa harusi inayofanyika kwa masaa manne tu!!. Na ndoa zingine hazimalizi hata mwaka zimeshavunjika!!. Tubadilike jamani...
Niongelee hasa upande wa CoET pale UDSM;
Hivi karibuni serikali imekuwa ikiajili sana vijana wanaomaliza chuo kama maTA. Wengine wameunganisha moja kwa moja kwenda kusoma masters n.k. Lakini...
Elimu yangu ni ya kuunga kwa gundi:darasa la saba nilisoma huku nauza mandaazi ya mama J akinilipa ujira wa sh.250 (mwaka 1987) huku nikiwatunza wadogo zangu baada ya wazazi wetu kufariki. (kama...
Naomba kueleweshwa wadau,nilikua naangalia prospectus ya mzumbe,naona hawa jamaa wao hadi mtu anagraduate anakua amesoma course 25 tu,wkt chuo kama sua mtu anaesoma agro-economics hadi anagraduate...
Nina mdogo wangu wa miaka 9 kwa sasa anasoma st magreth kimara bweni, tatizo haipendi hiyo shule na anataka tumhamishe, so nilikuwa naomba kujua shule nyingine nzuri ambayo ni ya bweni na ina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.