Kuna vyuo mbalimbali vilivyokumbwa na kashfa mbalimbali nchini, suala hili lisipochuliwa hatua litaidhalilisha elimu ya Tanzania. Mfano Chuo cha Ustawi wa Jamii Kijitonyama ilishakubwa na kashfa...
Demokrasi ni jambo la muhumu.katika nchi changa kama Tanzania, mabadiliko ya kisiasa yanayoendelea ni suala lisilo kwepeka.
Nchi kubwa kama marekani na zile zilizoendelea kama za ulaya hazikuibuka...
Idadi ya Wanafunzi katika vyuo vikuu imeongezeka kutoka 45,501 mwaka 2006/2007 hadi 139, 638 mwaka 2010/2011 sawa na ongezeko la asilimia 206 katika kipindi cha miaka mitano.
TUMEWEZA...
Taasisi moja yaendesha mifumo mitatu tofauti ya mafunzo ya ufundi, kuna trade test, CBET, na CBA. sasa ni muda wa zaidi ya miaka 10 mitaala ni ya majaribio kila kukicha, je nchi hii tunakwenda wapi?
Here is the brain teaser to warm up our minds as we are preparing for the week.
You have an empty pool and you start filling it up. The volume of water doubles everyday. It will take you 100...
Habari za jioni wadau? Nina rafiki yangu yupo chuo ila amekosa mkopo na nyumbani kwao wamemsusa sababu alipata ujauzito akiwa shuleni amekuwa wa mawazo hata kula yake ni ya tabu anafikiria kuacha...
Nipo katika hatua za mwisho za kuandika kitabu cha mambo yahusuyo scholarships.
Jina la kitabu ni SCHOLARSHIP OPPORTUNITIES IN AMERICA AND EUROPE: The Secret From Makulilo
Mtunzi: Ernest...
Jamani wana JF naomba kama kuna mtu anaweza kunipatia syllabus ya ordinary level kwa masomo ya Hisabati, Chemia, physics pamoja na Biology kwa shule za Sekondary kwa hapa Tanzania.Nitashukuru sana...
Scientists confirm early humans were from Africa but their route out was via Arabia not Egypt
Our ancestors headed into India via Yemen before wandering further east and north
Researchers used...
ndugu wazazi polenin na jukumu la kusomesha
naomba mfuatilie kwa karibu sana hosteli wanazokaa watoto hususani wa kike na mtakayoyaona mnijuze,
hosteli ammbazo wamiliki wake wameajiri watu wa...
Wakubwa mi ninasikitishwa sana na hali ya taaluma inapoelekea tanzania. kwani elimu ya sasa sio, yaani watu wanapewa vyeti tu na sio taaluma na ndio maana wengi tunamaliza vyuo vikuu tunasambaa...
Nimeona cartoon ya Gado ( Godfrey Mwapembwa) kwenye gazeti la East Africa la wiki hii, nimejaribu kutundika sina ufahamu huo.
Cartoon hiyo ni zaidi ya kejeli na fedheha kwa watanzania
Wadau, hali ya wanachuo Tumaini Smmuco ni mbaya sana kutokana na wengi wao kutopata mikopo yao hadi sasa. Plz, can somebody tell me what's wrong with Loarns Board?
Naibu waziri wa Elimu bwana Mulugo amewadanganya wakufunzi wa chuo cha Ualimu Songea kuwa madai yao yote yanayohusu upandishwaji wa madaraja/vyeo, malipo ya malimbikizo ya mshahara, likizo, na...
Raymond Kaminyoge
Mwananchi
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), imegoma kupitisha hesabu za Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), kutokana na ubadhirifu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.