Waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi amesema serikali haina pesa waliokosa mkopo wazazi wao watafute namna.
source: ITV kipindi dakika 45 bado anaendelea na mahojiano
Wadau wa jamii hii naomba nipate msaada kuhusu tofauti ya hayo yaliyopo kwenye kichwa cha habari hapo juu maana kwa sisi ambao hatujasoma inakuwa vigumu kujua kwa usahihi tofauti yao......
hello,ijumaa radio uhuru wametangaza vyuo vya st.joseph college of engineering and technology tanzania,zambia,malawi na sierra lone vinachuzwa kutokana na ubovu wake,cha zambia kimefungwa kinaitwa...
Naomba mnisaidie kumuelewesha Kawambwa,Tatizo sio wanafunzi wa vyuo vikuu,tatizo ni bodi.Hivi na haki kweli Wanafunzi wamemaliza mwezi sasa vyuoni hawajapewa pesa zao?,na amesema wakigoma anafutia...
Katika hali isiyo ya kawaida waziri wa jk anae shughulikia wizara nyeti ya elimu,amesema serikali haina pesa tena za kuwafadhil wanafunzi walokosa mikopo hvo wazazi watafute namna...
Dear friends, In consideration of the fact that the the taking control of Africas Educational Future Conference to be held on 16th to 18th November 2011 at the St. Augustine University of...
Kuna kila dalili ya mgomo kwa wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma hasa kolege ya education hapo kesho kutokana na kutokupewa fedha zao za kujikimu hadi hivi sasa.Ni takribani wiki mbili hivi sasa...
Habari kwenu wana jamii forum, mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha mtakatifu Augustino Tanzania. Nimeanzisha fans page kwa facebook ambayo ni 'YOUTH MOVEMENT IN TANZANIA' na pia nilikua nataka...
Mh. Kawambwa amesema wanafunzi wote wa UDOM walioshindwa kurudi na kufanya mitihani ya semister ya 2 wametamkiwa watarudia mwaka.......mjini shule!
Source: DK 45 ITV
Kutokana na kitendo cha ubabaishaji wa kuwapatia pesa toka bodi(heslb) wanafunzi wa mwaka wa pili na continuing wengine Arusha,Wameazimia kufanya mgomo wa Pamoja ambao utaifikishia ujumbe...
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu imeieleza kamati ya bunge ya hesabu za serikali (POAC) kwamba imeshindwa kuwapa hela ya mikopo wanafunzi wengi walioomba kutokana na serikali kutowa pesa walizoomba...
Ndugu WanaJF,
Napenda kutumia jukwaa hii tena kuipongeza Chuo kikuu cha Udaktari Buagando Kwa kufanya mabadiliko makubwa kwenye ufundishaji. Kama Miezi miwili hivi iliyopita nilitumia jukwaa...
Hi members. Kusoma sheria UDSM ni miaka 4, wakati MZUMBE ni miaka 3. kwanini ipo hivi!!. Au kuna kitu MZUMBE wanakosa ukilinganisha na UDSM!, Tofauti hasa ni nini kwenye Elimu inayopatikana. Maana...
Katika kile ambacho huwezi kuamini unaweza kusema Wahadhiri wa UDSM ni wajuzi na wazoefu kitaaluma hasa ukizingatia kwamba ni chuo kikuu kikongwe na chenye wataalamu wanaotegemewa katika Taifa...
Friday, 28 October 2011 18:13
Following release of names of successful loan applicants for the 2011/2012 academic year, there are students who have expressed their intention to either appeal...
chuo cha kampala international university walikuwa katika mgomo jioni hii kwa sababu ya ada kubwa na sytem ya kutoa elimu kwa njia ya modules kwa one month FFU ndio waliowatawanya. tution fees is...
Dear all
i have my kids who are eager to learn french they are less than 8 year old. They somehow learn at their school. Unfortunately i know nothing about FRENCH.
i am just wondering if anyway...
Wanajukwaa hili la elimu awali ya yote napenda kuwajulia hali na naamini wote wazima wa afya na ongereni katika harakati za ujenzi wa taifa.
Lengo la huu uzi ni kutaka kujua sababu gani zimefanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.