WHO SAID SHULE ZA KATA EDUCATION WASN'T GOOD FOR US?
From one of Irina secondary School, English teacher: "The girl goes to
school, goesn't she?
From Brits, somewhere in one of...
Hivi wakuu,wale mliomaliza hizo kozi nilizozitaja hapo juu,soko la ajira likoje kwa sasa hapa nchini?
Rate ya mishahara inaendaje pia kwa wenye hizo bachelors...
Wana jf nimeiona shule ya mnazi mmoja-kichangani sumbawanga ktk tbc1 habari,kama kweli jk ni rais wa tanzania naomba aende huko rukwa akajionee kama kuna sababu ya kusherehekea miaka 50 ya uhuru...
Wandugu wa Jukwaa la Elimu, nimeona niwasilishe hili kutokana na mijadala isiyo na tija ambayo tunaianzisha kwenye hili jukwaa.
Naamini jamii-forum, especially hili jukwaa lilianzishwa kwa ajili...
Kwa wale wapenda shule changamkia scholarships hizo haraka sana kama GPA yako inaruhusu. MSc. Petroleum Engineering and MSc. Petroleum Geoscience. Kazi zake zimejaa kibao hakuna watu...
Jaman polen nakaz kwa wale waliobahatika kuajiliwa.na wale ambao wamejiajir.kwa wale wezangu na mimi 2naosoma kama mimi 2kazana one day yes----kuna ki2 kimoja kinanisumbua sana kichwani mwangu.why...
Study Subject(s): Effect of Uranium Contamination in Selected Tanzanian Agricultural Soils and its Transfer in Food Chains
Course Level: Masters
Scholarship Provider: RUFORUM
Scholarship can...
Wasomi wanatakiwa wawe wavumbuzi na wajenzi wa uchumi, kwa mfano ukisoma jinsi ndege ilivyovumbuliwa utashangaa, ilianza mwaka 1799-1913. Kila mvumbuzi alikuwa anajitahidi kufanya kitu, anakata...
Wadau,kutokana na ada pamoja na michango mingne inayotozwa na hvo vyuo imenifanya niulze kama hvo vyuo ni vya umma au binafsi,na kuna nin cha ziada wanafunzi wanachokipata hapo hadi watoze ada...
jmani kuna jambo linanisumbua, suala lenyewe ni kwamba kuna mwanamke mjamzito alikuwa anasafiri kwa ndege kutoka fillipenes kwenda marekani. kilichotokea ni kwamba ndege ilipokuwa katika ang ya...
Ntatafuta kozi ya computer hapo dares-salaam pamoja na driving lessons hivi karibuni nikija.nasikia zipo nyingi lakini waswahili wanasema "penye wengi apakosi mchawi".hivyo basi naombeni...
Wana jukwaa hili la elimu ningependa wote tuige mfano wa hivi vyuo hapa Tanzania ambavyo havijihusishi katika kunadi uwezo wa vyuo vyao huku wahitimu wao waking'ara kitaifa na kimataifa katika...
Wanajukwaa hili la elimu ningependa tujadili sababu ya chuo kikuu mlimani kushusha cut-off point(kiwango cha chini kabisa kuingia chuo) katika miaka ya hivi karibuni na mpaka hivi sasa madaraja ya...
Wana jf nimepata mfadhili wa kunilipia masters degree,mi nimemaliza advance diploma in accountancy pale TIA,ningependa kusome MBA ya finance,accounts au marketing,naomba ushauri ni chuo gan...
Data zinaonyesha 2005_2007,idadi ya watanzania waliohitimu vyuo walikua 0.003%,wakati kenya ilikua 6%.Nahitaji kuju za kuanzia 2008 tafadhali naombeni mnipe data.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.