Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

inashangaza sana kuona watu waliosomeshwa na serekali wanasema uongo. jambo hili limetokea kwa mkurugenzi wa loans body,baada ya kuutangazia uma kwamba wanafunzi wote walochaguliwa ktk raund ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mh kawambwa, Waziri Ghasia na mkulo wizara zenu zinatuhumiwa kwakuchelewesha ama kutojali kuwalipa walimu wa chuo kikuu kilichokikubwa kuliko vyote huko dodoma. walimu hao walishapandishwa muda...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
An honorary degree[1] or a degree honoris causa (Latin: "for the sake of the honour") is an academic degree for which a university (or other degree-awarding institution) has waived the usual...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
C k2 kpya sana miongon mwenu wana jf lakini me napata mashaka kidogo katka hili suala la ulpaji wa ada na michango mingine katka baadh ya vyuo hapa tz interms of foreign currencies. Hli...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je unadhani lugha ya kufundisha ikiwa kiswahili wanafunzi wa sekondari wataelewa na kuongeza kiwango cha kufaulu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
When the 14 students were first registered in dar, it was under the auspices of london university as had makerere been for some years. So was the royal college (incorporating the gandhi memorial...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Your wellcome to give your viewz,that africans we are not the same since berlin conference of 1884/1885 held by the capitalist world
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Yuko rafiki yangu amenitumia swali hili hapa chini; nimeliangalia naona kama halijakaa vizuri kulingana na uelewa wangu wa hesabu. Wewe unasemaje? Any answers to this question: ( You saw a shirt...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
..Katika hali ya kuonekana kana kwamba ni kutumia vyuo vya elimu ya juu kupata umaarufu Jakaya Kikwete ameendelea kujinyakulia Phd kama nyanya sokoni...Kwa wasomi na watu makini wanaweza tambua...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwanii serikali hii sasa hivi inasema waombaji wa sifa linganishi hawawezi kupata mkopo kwa sababu ambazo hazina miguuu wala mikono ni mkia tu ambao siku zote nyuma unafuata kichwa kiendako, bodi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
b) Critically trace how the government of Tanzania has bee dealing with budget deficit financing overtime (note less that ten years) with consideration to which among three types of budget...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wataalamu wa Jf. Nimeombwa ushauri jamaa yangu.KUWA JAMAA YEYE KAMALIZA BARCHELOR YAKE YA bcom-finance mwaka huu na anataka kuendelea na kusoma mastaz so kanifuata tushauliane Asome...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ndugu zangu ni wpi serikali inatupeleka hasa sisi watoto wa mkulima wa kilimo cha kujikim? kuna uhalli wowote kwa mwanafunz yeyote aliyeko chuo kikuun tena aliyechaguliwa na tcu leo hii mwanafunz...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Madenti wengi wavulana kwa wasichana wanamiliki simu za mkononi'je wazazi ndo wanawanunulia na kama ndio jeni vema
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Mwezi uliopita baadhi ya wanafunzi waliokosa mikopo waliandamana,serikali ikatoa mikopo kwa mara ya pili,lakini wapo wanafunzi wengi wenye sifa na wameachwa serikali ikidai bajeti haitoshi,na...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuna maandamano yanafanyika hapa main cumpus-udsm,watu wana mabango yanayoonyesha kunyimwa mikopo wanaelekea nkuruma hall ambapo kikwete na museven wapo.ffu wametanda kila kona kuimarisha ulinzi.
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Hivi hii bodi ya mikopo ambayo hudai imeishiwa fedha na inauwezo mdogo wa kifedha kuwakopesha wanavyuo pindi waanzapo vyuo, hivi huweza kuwalipia wanavyuo wa mwaka wa pili ambao walikosa mkopo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Viongozi wengi waliosoma kipindi cha nyuma ndo wengi wana vyeo,kazi nzuri je unathani Elimu ya kipindi hicho ilikua bora kushinda sasa
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nahitaji kujiunga na chuo cha ubaharia lakini cjui wapi pakua nzia mwenye ulewa na hili anwani za chuo na mahali kilipo. Unaweza kunisms namba zangu ni 0789797889 au 0755433110
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Pakua electronic book(e-book) for free... Download free ebooks at bookboon.com
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom