ilipofika saa tatu wametengwa kulingana na ulicho apply.wakaingia ndani.wakagawa paper la mtihani.mda masaa mawili.
maswali kwa watu wa HR yalikuwa mchanganyiko;
mathematics!economics,english na...
Ukosefu wa mkopo tayar umesha determine who is real friend, and who is not! Mi nimeshaona! Ama kwel pata pesa tujue tabia yako! Yaan jamaa walokuwa wakaribu hata ukimpigia hapokei anahib...
Naomba msaada wa kujua mahala ambapo hivi vyuo vilipo hapa dar, nikiwa naanzi safari kutokea ubungo!??? Institute of social work na institute of tax administration
Nina mdogo wangu alimaliza form 6 mwaka jana katika moja ya shule zinazomilikiwa na serikali hapa nchini,lakini cha kushangaza akapewa mkopo 0%,kutokana na uwezo wa familia yetu kuwa...
Kwanza niwape pole wale wote wenye vigezo na wamekosa mkopo.Usumbufu wa heslb kwa wanafunzi ni mkubwa na wamebadilisha dhana ya "LOAN" inakuwa "SCHOLARSHIP" kwa makusudi au kwa kutojua.Nirudi...
Habari wadau
Ninafanya diploma NCC, sikusoma V.B, na ninatakiwa niifanyie mtihani karibuni.
Kama kuna yeyote anayeweza kunifundisha, naomba awache contact yake hapa au
ani pm , niko Dar.
Habari zenu wanaJF,
Jamani, nina mdogo wangu wa kike, nataka arisiti mtihani wa form four mwakani.
Naomba mnisaidie shule nzuri ya wanawake ya bweni ambayo ada yake haizidi Milioni moja...
Wanachuo mkijaribu kuangalia website ya bodi ya mikopo ,wametoa vijisababu vingine za watu kukosa mkopo, ili kupata huo mkopo wanatakiwa kurekebisha hayo makosa na ukifuatilia wengi wao ni watu wa...
I'm an avid reader of novels.Although I read a wide varieties of novels am more interested in:Legal thrillers(love John Grisham's stories) ,crime series,romance-the likes of Nora Roberts and...
Natafuta sana watu wanaosoma au waliosoma masters of Education hasa MED APPS (Masters of Ed in Administration Planning and Policy Studies) kwa lengo la kubadilishana uzoefu, kufanya discussions na...
These are some amazing facts, and some are even shocking. Read and enjoy!
THINGS EVERYONE SHOULD KNOW:
The word "queue" is the only word in the English language that is still pronounced...
Kuorodhesha vyuo vikuu
kulingana na umaarufu ni
desturi inayokua kwa kasi sana
katika sekta ya elimu ya juu.
Orodha hiyo, inayojumuisha
vyuo vikuu vilivyo maarufu
zaidi duniani, ina walakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.