wana jf wanapa pole wote ambao hawajapata mkopo,ikiwa mi mwenyew pia ni muanga wa janga hili,lakini nawasihi kwamba wafanye dili zingine mtaani wakivuta subira ya kujaribu tena mwakani,labda bodi...
Tunapoikaribia siku ambayo JK atatunukiwa Honorary Degree naambatanisha taratibu zinazofuatwa na UDSM kabla ya kuchagua jina la mtu atakayepatiwa degree hiyo ya upendeleo. Lengo hasa ni kuona ni...
Jamani kama kuna shimo la kufukia vipaji, na uwezo wa kufikiri kwa wanafunzi wetu ni TUITION. Sijui wazo hili lilitoka kwa nani. Tution ilizaliwa miaka ya 1990s na mbaya zaidi baada ya mwaka...
Jamani kama kuna shimo la kufukia vipaji, na uwezo wa kufikiri kwa wanafunzi wetu ni TUITION. Sijui wazo hili lilitoka kwa nani. Tution ilizaliwa miaka ya 1990s na mbaya zaidi baada ya mwaka...
Leo nilikuwa class tukiwa watu 3 na Prof. wetu..Prof akaanza kufundisha jamaa zangu wawili wakaanza kupiga story kwa hiyo Prof akaendelea kufufundisha bila kujari wale jamaa zangu wawili waliokuwa...
Miaka yote udom wanapata boom wakiwa wa mwisho ukilinganisha na vyuo vingine? some time wanapata ata baada ya miezi 2 kupita wanapofungua chuo? pesa ya field hivyo hivyo kwanini?
naomba mwenye majina ya wanafunzi waliopata mkopo mwaka jana 2010/2011( MNMA) chuo cha Kumbukumbu ya Mwalim Nyerere. Tafadhali nina shida nayo. Nimejaribu kugoogle,kusearch humu kwenye forum na...
heslb wametoa tangazo kuwa second round applicant na wengine wote watakao chaguliwa na TCU mkopo hamna....eti wanasema wakati tuna apply second round TCU walitueleza kabisa kuwa mkopo...
Greetings to all,
Ninashida na kitabu hiki FINANCIAL STATEMENTS ANALYSIS AND SECURITY VALUATION S.PENMAN 2007 3RD EDITION, mwenye pdf file nitashukuru sana.
Makamu wa rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mohamed Gharib Bilal bado anatambulika kama mwenyekiti wa baraza la chuo kikuu cha dodoma (udom council chair). Licha ya Rais Kikwete kumteua...
wapendwa wana JF, mdogo wangu alikuwa katika category ya "NO LOAN CONTRACT SIGNED"
swali;
inamaana kuna ki/vipengele hakusaini alipokuwa anapeleka?
na je kama ndo hivyo, anahitajika kupeleka upya...
nasikia kuna programe nzuri iliyoanzishwa na wizara ya elimu tz ya kubadilisha mtizamo wa ufundishaji wanafunzi badala ya mwl kuwa ndiyo kila kitu wakati somo linaendelea na sasa kitovu cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.