Habari ma great thinker!Mimi ni mwalimu wa sekondari ya misalai iliyopo Amani katika halmashauri ya muheza hivyo nilikuwa naomba kubadilishana na mwalimu yeyote aliyopo katika halmashauri hizi...
Wadau,ule mkwara alio uchimba huyo jamaa hapo juu eti kwa continue students lazma 2lipe sehemu ya cost 2nazodaiwa ndo 2pewe bumu le2 umegonga mwamba na hatimae bumu limewekwa tangu majuzi maana...
heshima kwa wakuu wote mliomo humu jamvini. mi ni kijana wa kitanzania nimesoma diploma ya customs and tax management kilichpo chini ya TRA na nigependa kujiendeleza na masomo ila kwa njia ya...
Namkumbuka mwalim wangu wa darasa la kwanza Mwl. Deodatus Mganga, dah alikuwa mlevi yule!!, alikuwa anatupiga yule!!, alikuwa akija asubuh darasan amelewa (gongo) anatuuliza "Vijana mmekojaoa"...
Wilaya ya GEITA pamoja na kuwa na rasilimali za madini katika ardhi yao, bado maisha na unyanyasaji kwa wananchi na watumishi wa umma uko juu sana kuliko wilaya nyingine za mkoa wa Mwanza...
<WENYE SHULE/VYUO> na WASAMBAZAJI WA VIFAA VYA SHULE
HII NI KWA WAMILIKI WA SHULE,VYUO NA VITUO VYA MAFUNZO. SASA UNAWEZA KUIFANYA SHULE YAKO KUWA MAALUFU NA BORA NDANI NA NNJE YA TANZANIA...
Hadi sasa ninashindwa kuelewa kwamba hawa ja maa TCU wameshindwa kuimudu CAS central adimission system au vipi. Nina mjomba wangu ambae amemaliza kidato cha sita na akafaulu kwa kupata daraja la...
Nataraji migomo mingi vyuoni kwa mfumo huu ata kama posho imeongezwa.Ebu pima hii,mtoto wa mlala hoi ameomba chuo na kapata ili kusomea ualimu akispecialize kwenye english ananyimwa mkopo kwa...
Kuna baadhi ya private schools zinamanyanyaso sana kwa wafanyakazi wake,yani mkuu anaiendesha taasisi kama anavyotaka.Wengine wanaassume wafanyakazi hawajui haki zao za msingi wanapokua...
Kwa yeyote mwenye kuitaji vitabu vifuatavyo tuwasiliane.
Kuna vitabu vya:
C,
C#
C++,
Java,
Javascript,
CSS
XHTML
CompTIA
Computer Science
Upgrading and Fixing Computers
CNET
Joomla
Multimedia...
Wapendwa nishaurini,
Huyu nijamaa yangu amemaliza mtihani wa form four na anauhakika wa kufanya vizuri ila kwasababu ya majukumu anataka kupumzika kwanza yaani anataka kwenda chuo chochote ili...
Kijana mmoja anayesoma form 6 mbeya(jina la shule halijapatikana) amekamatwa jana akimfanyia mdogo wake mtihani wa form 4 hapa mwembetogwa sec-iringa. Inasemakana alishafanya Geography,kiswahili...
Nimeamua kuileta hapa maana haifai kule kwenye entertainment!Hii thread maalamu kwa wenye elimu ya muziki (classical music) kubadilishana mawazo na vitu kama music sheets nk.
Mimi...
mara nyingi nimekuwa nikijiuliza kwa nini baraza la mitihani la Taifa linaonesha majina ya watahiniwa wakati wa kutoa matokeo. mimi kwa mtazamo wangu naona matokeo ya mtahiniwa ni siri kati yake...
mwenye kua na clue nzuri abt hii masterz ya rural development,i mean fees,mode of deliverance and it market. .najaribu kufungua website yao hawajaelekeza kuhusu fees. .kuna ndugu nataka natak...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.