Jamani form four wamefanya karibu asilimia 80 ya mitihani yao sasa naomba mnisaidie anayefahamu maswali ya Bible knoweldge anifahamishe coz kuna mdogo wangu anafanya tarehe 17 october sasa anataka...
<font size="3"><strong>tumemaliza chuo na sasa tupo mtaani lakini tunalia na ajira kila kukicha utatuona na baasha mkononi lakini wapi! mliopo chuoni na mnotalajia kujiunga na vyuo angaline course...
Wakuu naomba msaada wa contacts za chuo cha ustawi wa jamii hasa namaba za simu au website.
Nipo mbali nataka kuwasiliana nao tafadhali, nimejaribu google bila mafanikio.
Kuna dogo mmoja mtoto wa jirani yangu anataka kuepukana na kumsomesha mwanae shule za Kayumba anataka kumpelka Olyimpio au Diamond akasome kwa kimomo.Lakini ameniambia amekumbana na longo longo...
Sisi ni wanafunzi wa equivalent je kilio chetu sisi tufanyeje kwani mpaka sasa hata hujui kinachoendelea na mlisema watu wasayansi watapewa mkopo asilimia mia moja je, sisi ambao tuna- equivalent...
Habari zenu wanandugu...mimi ni mdahiliwa wa chuo kikuu cha dar es salaam kwa mwaka mpya huu wa masomo..nimepangwa hostels za mabibo... Kwakuwa me si mwenyeji sana wa mji huu ninapendelea zaidi...
Makamu Mkuu wa chuo Kikuu Muhimbili amefuta chama cha wanafunzi (MUHASSO), students' Organization kwa kutumia hoja zisizo na mashiko, akidai ni maamuzi ya kikao cha Baraza la chuo cha tarehe 3...
Wakuu,
Mimi na watu wengine watatu mwaka jana tulianza juhudi za kuanzisha taasisi itakayoitwa Tanzania Friends of Mathematics/Marafiki wa Hisabati Tanzania. Kwa wale ambao watapenda kuwa...
Kadri karne zinavyozidi kusogea kumekuwa na mporomoko mkubwa sana wa elimu ya Tanzania. Kuna shule za kata nyingi ambazo zimejengwa hazina walimu wenye sifa za kutosha pia hata mazingira yake...
SALAMU.
NAOMBA MSAADA WENU ILI NIPATE MATOKEO YA FORM SIX YA MWAKA JANA 2010 (MTIHANI ULIFANYIKA 27 SEPTEMBA)
Tafadhalini naomba kufahamishwa ili nipate kujua kijana wangu akisoma huko shule za...
hivi naomba mnisaidie link yeyote ambayo naweza pata scholarship za masters (business, au ICT relating to business) maana napenda sana kusoma masters but financial am unstable
so anyone...
changamkieni hivi vyuo,BERGEN,TROMSO,KRISTIANSAND,OSLO na NTNU, kwa chuo cha oslo zipo programu nyingi za uzamili, fuata hii linki www.uio.no afu chagua lugha,angalia kushoto utaona wameandika...
Unatafuta shule, au unatamani shule yako ijulikane kitaifa na kimataifa.Tembelea Schoolbook Classic | Homepage
kwa maelezo zaidi. salama, bure, na rahisi kutumia. Wengi wanatumia wewe je? Tangaza...
Leo ni siku ya Walimu duniani;ninaomba niseme kama ifuatavyo:katika kila wanafunzi 10 wa darasa la tatu(3) hawawezi yafuatayo:-
07 katika yao hawawezi kusoma hadithi ya Kiswahili ya darasa la...
wale waliokua wanadai mkopo na kukutana wizara ya elimu, kesho wanakutana kwa wazr wa elimu saa 1 asubuh, kiongoz ameniambia ni2me kwa wa2 10, nadhani kwa njia hii ujumbe umefka kwa wa2 zaid ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.