Nilijaribu kumtweet mhe Jk Katika account ya TWITTER km mara tatu juu ya tatizo hili la MIKOPO hatimae kanijibu leo sasa hv anasema "Bod ya mikopo inalìfanyia kaz swala hil na anaamin ufumbuz...
tukiwa tuna timiza miaka 50 ya chuo kikuu cha dar es salaam tunatakiwa tuangalie tuliko toka , tulipo na changamoto zipi zinatukabili huko tuendako. changamoto moja niionayo mimi ni hii ya...
Salam wadau,
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitafakari kuhusu zogo la wanafunzi wengi waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya elimu ya juu hapa nchini mwaka huu walivyokosa mikopo kutoka bodi ya mikopo ya...
hello people,im a student pharmacist..nasoma bachelor hapa nchini...im finding fellow friends in this field or any person with knowledge/interest in this field and even the whole medical field in...
Kuna jamaa mmoja anafanya kazi na wakorea: Anasema kuna Mtanzania ambae
amekuwa akifanya kazi kitaalamu sana (Electronics) kiasi cha kuwashangaza
wakorea hao, lakini ni std 7. Kwa mujibu wa...
2liochaguliwa udsm bila mkopo, napenda kufaham wenzangu mna mikakat gan? au 2naenda kuripot kibabe, je hawatatunyanyapaa? hebu 2wekane sawa wana JF wenzangu.
Ninamiaka 37 ninawatoto2,nilikvwa nasoma pale technobrain,diploma in ict, niliacha nikibakiza miezi 6 nimalize..maisha ni magumu sana kwa sasa,je niendelee au najilisha upepo?
Nimeudhulia maafali ktk shule moja hapa Dar, kilichonisiktisha ni:
-wahitimu wengi walikuwa wamevaa Kata K
-Wahitimu walivaa suti badala ya sare zao
-Maonesho yao wengi walicheza kiduku na michezo...
jaman mimi ni mwalimu wa shule ya sekondari ,nashangazwa na huu utaratibu wa wanafunzi wa kidato cha nne kufanya mitihani ya vitendo[practical] wakati shule huska hazina maabara .kinachofanyika ni...
Samahani wakuu naomba kuuliza kama ratiba ya probation exams imetoka maana kwenye website hakuna chochote na nimesikia tetesi kuwa mitihani ni tar 17 sio 10 kama almanac inavyosema please tujulishane
mi naona kama bajet kweli haitosh, Serikal izame kitengo cha maafa wacsubir mpaka mel izame au mabom yalipuke, hata watu elfu 14 kukosa mikopo mi naona ni maafa pia kwan haijawah kutokea.
Nipe Jibu- "Uhai wangu hulingana na umbo langu, na huo uhai wangu hutegemea uhai wa mtu mengine, mimi nani?"
<waweza kutumia "Kamusi ya Vitendawili na Mafumbo">
Tanzania Commission for Universities (TCU) in collaboration with the National Council for Technical Education (NACTE) and higher education institutions hereby informs prospective applicants for...
Ni miaka 50 ya uhuru,nimetafakari nikaona elimu tunayoipata hapa Tanzania haikidhi haja za watanzania. Kwa vipi?
Serikali imejitahidi kujenga shule kibao za kata ikishirikiana na...
Napenda kuiuliza wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi kuwa ni lini watawaajiri walimu wapya 2011? maana tunasema kila siku kuwa shule zetu zina upungufu wa walimu wakati walimu wamejazana mitaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.