kwa wale wanafunzi wenye roho za kiuanaharakati na kimapinduzi,wenye tamaa ya kuja kutetea wanyonge hakikisheni mnajiunga na website hii ya wanafunzi wa vyuo tuzungumze matatizo yetu imetengenezwa...
tumemaliza chuo na sasa tupo mtaani lakini tunalia na ajira kila kukicha utatuona na baasha mkononi lakini wapi! mliopo chuoni na mnotalajia kujiunga na vyuo angaline course za kusoma.
IN BOARD CONTRACT PROBLEM
I would like to ask for the information from board concerning student with In board contract problem, is there any update concerning the matter? Thanks!!!
Kuna mwanafunzi yupo kwenye mtihani wa biology muda huu saa 9 na robo amenitumia maswali nimsaidie, amedai waliruhusiwa kuingia na simu na msimamizi wao. Hivi hawa ni wasomi wajao, au tuna mpango...
isee jamaa waliotunga mtihani wa kiswahl mwaka ni noma,mtihani ni mgumu haufanyiki,kiswahil kimekua kigumu zaidi ya math..jamani mmeamua kuwakomesha hawa watoto wasisome zaidi.it was not fair for them
Hatimaye mitihan ya kidato cha nne inayoendelea kufanyika hivi sasa imevuja. jana kisw kilivuja, leo bios imesoviwa 9t na history pia iko hewan sasa. source ni shy. JITAHIDI nawe upate cake yako...
hivi hawa 1st year wa udsm wamekakalilishwa na nani!? Coz kila m2 aliyepangiwa mabibo hostel anataka kuhamia main cumpus,hebu mjaribu kulizika na mlichopata afu hasa waliotoka private xul ndo...
JamanI wana JF, kama kawaida yenu najua nitapata msaada mzuri hapa.
Ombi langu ni kutaka kujua kituo kizuri kwa ajili ya kurudia mitihani ya kidato cha sita masomo ya Art hapa Dar kama private...
<font size="3"><strong>tumemaliza chuo na sasa tupo mtaani lakini tunalia na ajira kila kukicha utatuona na baasha mkononi lakini wapi! mliopo chuoni na mnotalajia kujiunga na vyuo...
WAFANYAKAZI & WANACHUO UDOM WADHALILISHWA VIBAYA NA UONGOZI.
Katika hali isiyo ya kawaida hatimaye Wafanyakaz na Wanafunz wa UDOM Wamedhalilishwa Vibaya na Uongoz wa Chuo kwa Shinikizo la CCM...
habarini za kazii wadu!
Nimeamuwa kuwashilikisha hili ili tusaidiane,natumaini wausika wa stjoseph mtatupa majibu au kutuelekeze jinsi ya kufungua.kwani kwa sas tumekua na tusomesha wadogozetu...
Hili wazo kwa mara ya kwanza lilitolewa na Mbunge mmoja katika bunge lililopita
Kwamba ukienda katika baadhi nchi zilizoendelea utakumbana na hii kitu ambapo wajuzi wote wanajiorodhesha kadri...
Nawatakia kila la heri wanafunzi wote wa kidato cha nne wanaoanza mitihani yao leo. Pia naomba tumwombea sana kijana wa jirani yangu (Tofa) ambaye leo inabidi akaanze mitihani yake wakati mwili...
Wakuu kama mna taarifa zozote kuhusu hii kitu tunaomba tupeane updates maana HESLB wamejikausha kama hawajui kinachoendelea vyuoni nchini.Hii miaka 50 ya uhuru,mh!
Wadau hawa loans board mwaka huu cjui vp!!leo katka pita pita zangu hapa main cumpus ya udsm,nkabahatka kukutana na dogo flani hvi ambae ni 1st year,anatokea shinyanga,kilicho nifanya nimsemeshe...
wandugu natumaini mmeamka salama na mnachapa kazi kwa kwenda front......napenda kujua ni kweli orientation kwa MBA open University itaanza week hii maana nimekuwa nikiwasiliana na hawa jamaa kila...
Natoa pongezi za pekee kwa mama Ndalichako kwani umerudisha heshima Baraza la Mitihani kwani kwa sasa hakuna uvujaji wa Mitihani. Hongera sana.
Ieleweke hongera hizi hazina uhusiano na waziri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.