Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kidato cha nne 2011,nawatakia mema katika mitihani yenu.MJIAMINI MTAWEZA MAANA MMETHUBUTU.
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Napenda kuwatakia mtihanini mwema form 4 wote. Ni mategemeo yetu mtakuwa mumejiandaa vizuri kupambana na huyu jamaa asiyependwa na wengi hapo j3. Zimebaki sekunde za mwisho za kuangalia jinsi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ndugu wana JF mulioko huko Uganda, salama? kama kichwa cha habari hapo juu, naomba munisaidie Address ya mtandao wa baraza la mitihani la huko uganda ili niweze kuangalia matokeo ya kijana wangu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanabodi, Leo ndio siku ya Interview ya kujiunga na Shule ya Sekondary ya St. Marrian Girls Sec. School iliyopo Bagamoyo. Interview hiyo inahusisha mtihani wa masomo matatu ya Hisabati...
10 Reactions
103 Replies
17K Views
Kwa mujibu wa wanafunzi waliokosa mikopo ambao jana walikuwepo bodi ya mikopo kulalamika, jana waliamua kuandika barua kwa raisi kumwelezea hali halisi. Kwa mimi ninavyoona hii ni hatua nzuri...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani waaungwana naomba kama kuna mtu ana tangazo la "Full funded courses by ministry of external affairs, government of india'' (ni short courses) ambalo limetoka hivi karibuni kwenye magazeti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
UDOM----ANNOUNCEMENT FOR SECOND AND THIRD YEAR STUDENTS The University of Dodoma informs all continuing students that registration will be carried out at Jamhuri Stadium in groups as follows: ·...
0 Reactions
22 Replies
10K Views
Dear great thinkers, without basing your argument on the Bible, I beg to know, this statement "WHO IS MY NEIGHBOR" THANK YOU
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Wadau hebu nijuzeni,mtu akitaka kuanzisha kipindi kwa tv anatakiwa aanze process zipi,namaanisha kuanzia kuomba mpaka kuendesha kipindi bila kusahau malipo km mshahara,natamani sn kuwa mmojawapo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kupitia magazeti ya jana tarehe 28 Septemba, 2011 Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ilijibu makala hii ya Deusdedit Jovin ambayo kimsingi ina mantiki kubwa. Bodi imonyesha kumbeza na kumtuhumu...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
nasikia kuna programe nzuri iliyoanzishwa na wizara ya elimu tz ya kubadilisha mtizamo wa ufundishaji wanafunzi badala ya mwl kuwa ndiyo kila kitu wakati somo linaendelea na sasa kitovu cha...
0 Reactions
0 Replies
962 Views
hi wadau naomba msaada wa kujua lini udom watatoa majina ya watu walio omba kupitia mature age entry.........mpaka leo hakuna tangazo lolote khs admission ya mature....wakati chuo kinafunguliwa...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
hv hawa HESLB wanadhan kuwanyima equivalent mkopo ndio soln. mbona kuna equivalent weng wajanja tena waliopo kazini wame aply direct TCU na vyet vya fom 6 wakapata mkopo? nawashaur equivalent...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Fomu na barua zinapatikana kwenye tovuti ya chuo kikuu cha dodoma unalog in kwa index no.ya form four kama user name,na surname kama password ikiwa kwenye capslock
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kwa anaejua hili naomba anisaidie. Ni maswali gani yanayoulizwa kwenye hiyo interview. Nini hasa ninachotakiwa kufanya au jinsi ya kujibu maswali ili niweze kuipata iyo scolarship.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello jf!!naomba mwenye information kuhusu masuala ya kitaaluma ya hcho chuo hapo juu,soko la wahitimu wake na mambo mengne anipe,kuna mdogo wangu kachaguliwa hapo for bachelor of economics with...
0 Reactions
31 Replies
10K Views
Wanajanvi naombo msaada kuhusu kusoma MA pale Makerere kwa M7,vipi gharama zake katika kitivo cha elimu au sanaa ya sayansi ya jamii.Vipi kuna shule na facilities au tia maji bora liende.Na je...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nimeisikia híi katika mapitio ya magazeti, imeandikwa katika gazeti ya nipashe. Wamedai watakaondamana kudai kuongezewa mikopo watafutiwa mikopo waliyopewa. Pia wamepiga marufuku siasa vyuoni na...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Master ni uzamili na Phd ni uzamifu,hii PGD huitwaje kwa lugha ya taifa?
0 Reactions
21 Replies
31K Views
naombeni kujua kama mtu alifanya application ya chuo kupitia tcu na akachaguliwa na mkopo akapata kidogo, lakini kwa sababu wazazi wake hawapendi hicho chuo alichochaguliwa na pia hawana hela...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom