jana gazeti la mwananchi 21/09/2011 lilitoa tangazo kutoka bodi ya mikopo kwamba kuna vyuo havijapeleka matokeo na maendeleo ya wanafunzi hivyo basi wanafunzi wake watachelewa kupata mkapa na...
Mpaka hv sasa wanafunzi walioomba mkopo kwa kutumia matokeo ya equivalent ktk chuo fulani hawajapata mkopo.
Cjui na ww pia u-mmoja wao/unajua chuo kingine au la!
Je, unafikiri ni nini tatizo au ni...
<p>Tunaomba kujuwa kubadirika kwa taratibu za usimamizi wa mitihani. Tangu lini maafisa wa elimu shule ya msingi, wakaguzi, na wale wa elimu ya watu wazima wameruhusiwa kusimamia mitihani ya...
Habari za shughuli wana jf.Kuna kijana mmoja mkazi wa Kigoma amenitumia sms alitaka kujua je admission letters kwa undergraduate 2011/2012 udom zimeshatoka, na kama tayari je utaratibu wa kuzipata...
Baada ya serikali kukaaa na wanayoita bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu wameamua kuwatosa vijana wenye sifa linganishi kupata mikopo kwa kutoa sababu ambazo hazina mpango wowote, kwani...
Kuna ki2 kimenishtua leo eti kuna DEGREE ZA CHUPI kwa wadada!!? Unaenda chuo miaka 3 au 4, unawavulia wahadhiri chupi wanakupa marks za bure. Sasa huyu m2 anaenda kufanyaje kazi au atamvulia na...
Hili swala la watanzania wengi kukimbia masomo ya science inamaanisha wengi hatujiwezi kuyamudu ni magumu sana au ni mfumo wa Mitaala yetu ya Tanzania ndiyo inasababisha!
Kwa hili kama mzalendo...
Tetesi toka Mabibo hostel. Kundi la wanaharakati wametoka mikoani kwa jili ya kutetea first yearz 1600 waliokosa mkopo first year mtaokuja UDSM mjipange Kunji
kuna swala linaleta tatizo hivi kuna tofaut gani kati ya institute na university coz kuna information nimesoma zinasema kua unapograduate ktk institute unapotaka kusoma masters lazima ufanye...
ICT4TD Learning Centre ni centre ambayo imejikita zaidi katika maswala ya kuelimisha jamii hasa vijana katika maswala yanayohusiana na Technohama kwa ujumla.Centre hii imebase zaidi katika...
Board ya mikopo inafanya kosa kubwa sana, inaingia mikataba na wanafunzi, fedha zinapitia kwa chuo kumfikia mwanafunzi.
Kinachotokea ni hata wanafunzi wanasaini kiasi ambacho kikilipwa...
khan academy.org
academic earh .org
Toorent number moja
Kwa vitabu video na lecture mbali mbali mbali
Khan avcademy inawfaaa wanafuzi wa sekodary
Academic earh wa vyuo
Torrent hiyo ndio kila kitu
habari zenu wana ukumbi wa JF.
Mimi jana nimepata habari za mshtuko kuhusiana na NACTE. kuna wanafunzi wameapply degree ktk baadhi ya vyuo visiwani zanzibar lakini kwa bahati mbaya wamekosa. na...
Nilijaza form za Massters (MSC.IT) application pale IFM August mwaka huu kwa ajili ya kuanza masomo January 2012. Kuna mtu yeyote anayejua matokeo yanatoka lini? Niko mikoani na sioni contact to...
Hatimaye vifijo, nderemo pamoja na simsnzi vyatua kwenye viwanja vya SUA, Swala hilo limejitokeza baada ya matokeo ya University Examination (UE) kutolewa kwenye mbao za matangazo huku vijana...
Salaams,
Naomba/natafuta mwalimu wa Tally 09 Accounting package, wa kunifundisha privately hapa Dar es Salaam.
Naombeni contact; simu au email.
Ahsanteni sana.
Edylux
How To Tell If Your Woman Cheats And Her Other, Dirty Little Secrets...Is your woman cheating on you?
Is she thinking about it?
Is she living a secret, double life where she meets up with men for...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.