Hebu angalia ni jinsi gani watu wasivyokuwa serious yaani TCU si ndo wanaregulate vyuo vikuu vyote Tanzania inakuwaje wakati wa kufanya selection wanafanya nusunusu wao si wana idadi kamili ya...
Dah!!wakubwa tangu nije kupga fild huku kwenye maofisi ya wa2 nimegundua kwamba chuo unachosoma hakina ishu ktk kutafuta job..juzi kati c kukawa na job interview ya position mbalimbali hapa...
ANNA Rugaimukamu (not her really name) arrived in Dar es Salaam on Saturday from Muleba district, Kagera region to join the University of Dar es Salaam in the new academic year that begins next...
Wana wa JF mambo vp? Natumai hamjambo.Tafadhalini sana naombeni msaada wenu wa kimawazo kwa wanaofahamu kwa hapa kwetu Tanzania ni wapi nitakapopata elimu juu ya maswala ya mawasiliano ya satelite...
Shule binafsi zinaada kubwa mno na hasa ukizingatia uchache wa shule zenyewe.Serikali nyie wenyewe ndio mnasababisha hela inashuka thamani bila yakuikomboa mfano 1$=1750 tzs.Tunahitaji haya ya...
Hello Great of Great Thinkers!!
Jamani nina jamaa zangu wanataka kuja bongo wakitokea ulaya, ila wanahitaji kusoma kozi ya Kiswahili, na sehemu wanayotaka kusoma ni wakiwa Zanzibar, sasa je kuna...
Wadau heshma kwenu
Nimepewa assignment na katibu wa mnoko wa Teachers service department (TSD) wa pande nilipo eti hawezi kupokea fomu zangu za kuomba tsd namba bila kujua majukumu ya tsd.Great...
Msaada wenu jamani! Naombeni mnisaidie COURSE OUTLINE YA EN 200. Nipo kwenye hali ngumu sijui A wala Ba jinsi gani nita-clear hiki kimeo pia naombeni mnisaidie jinsi ya kupata material ya hii...
Kitabu cha THE STATE OF AFRICA. Cha MARTIN MEREDITH sio Kibaya kukisoma Hasa sehemu ya in search of ujamaa. yanaelezea mengi kuhusu Nyerere na Vipi Ujamaa ulishindwa Nchini.
Heshma kwenu jf.
Nimetolewa jasho na kitu kinachoitwa TSD mwenye kujua majukumu ya hii Teachers Service Department (TSD) anipe habari maana nimeambiwa nisipojua majukumu yake eti spewi TSD namba
Wadau leo asubuhi hapa College of Informatics and virtual education (CIVE) - UDOM palikua na tukio la kuwaapisha viongoz wapya wa serikali ya wanafunzi ngazi ya college. Miezi kadhaa hapa nyuma...
Kwa mtu yeyote anayejua kiwango cha ada sifa za kujiunga na ordinary diploma kwa mtanzania ktk UGANDA MANAGEMENT INSTITUTE au Uganda Christian University na Makerere University maana ktk web zao...
Tumechoka na danadana za siasa, hatuwezi kusikia tena siasa, na hatuwezi kuvumilia na kulimbikiza hali ya masononeko na manung'uniko ya watanzania walio masikini. Katika kusherehekea miaka hamsini...
Hello great thinkers
Nategemea kufanya research on PMU(procurement management unit) compliance in public organisations. Naomba ambaye ameshafanya nione kitu related na hiki anipe paper yake...
Jamani wanafunzi mpo wapi jaman,inatakiwa kuunganisha nguvu kwa wanafunzi wote kudai mkopo kwa kuwa ni haki ya msingi.mnaogopa nini kwani mmeshaanza chuo ndo mseme mtafukuzwa kama udom au
Hi fellow members, i'm doing my research on CSR (Corporate Social Responsibility) but am facing confusion between these two things: Conceptual framework and theoretical framework, what are the...
Jamani mimi nashangaa kitu kimoja.Kama bodi ya mikopo mwaka huu haitoi mikopo kwa wanafunzi wenye EQUIV QUALIFICATION kulikuwa na haja gani ya kuweka vigezo vya EQUIV QUALIFICATION kwenye form zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.