Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Mwenye taarifa kuhusu hcho chuo anipe ili nifanye application mapema.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika orodha ya Vyuo Vikuu Bora 400 Duniani (THE TOP 400 World Universities 2011/12)iliyotolewa hivi karibuni na The Times Higher Education (THE) World Universities Ranking HAKUNA HATA CHUO...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hapo jana tovuti ya heslb wametoa majina mapya ya waliopata mikopo yacyozidi mia 2 kwa chuo kimoja, HONGERA KWA WANASCIENC MLIOPATA Nasema hivi nkimaanisha kama wewe ni facult za social scienc...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari wakulu! Mimi ni kijana mwenzenu ninaefanya kazi ngumu hapa nchini ila kutokana na uvumiliv wangu nimefanikiwa kujiwekea kias kikubwa sana cha pesa sasa nilikua nahitaj kuendelea na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wana JF hawa wanafunz wamepata kwa sababu wengi wao walipeleka barua za malalamiko na vithibitisho mbalimbali mapema. nadhani wataongeza majina mengine kwa wale waliochelewa kupeleka barua hizo.
1 Reactions
0 Replies
10K Views
Unakumbuka mishemishe uliyokuwa nayo unaposikia kuwa kuna paper imevuja? Au tatizo gani ulikumbana nalo? Tupeane hizo story hapa.
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Walimu mliojiriwa Feb 2011 bila shaka wapo ambao mpaka sasa madai yenu ya mizigo,nauri,kujikimu na wategemezi na kama kuna ambao mmelipwa basi tupeane taharifa. Nasema hivyo kwani kuna baadhi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Awali ya yote nipende kuwapongeza dada zangu kwa kuwa na mwamko wa Elimu!! Pili nichukue fursa hii kuwaomba dada zangu kuwa wakati tunapoelekea kufungua vyuo tunaomba muache kuvaa nusu Uchi...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
jaman wadau mwenye info za kutosha kuhusu pgd ya monitoring and evaluation pale coet ,je wana enroll mwez wa ngap? Na ada yao ni bei gan? Na wasilisha wakuu!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana jf wenzangu, sijui tunaelekea wapi na katika karne gani? ukiachilia mbali swala la wanafunzi wengi kutopata mkopo, uongozi wa chuo kikuu cha Dodoma ilitoa tangazo kwenye website yao...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari kwenu wanajamii, mm ni kijana wa kitanzania ninaesoma nchini india diploma of criminology nimepewa project proposal na maada niliochagua ni child labour, ninachowaomba hapa ni manija ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu heshima zenu!nilikua naulizia kama kuna mdau yeyote anayefahamu shule nzuri ya awali yenye maadili mazuri iliyopo mbezi beach anijuze!kijana wangu nataka nimuanzishe mwakani! Nawasilisha wakuu.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ndugu.. Jaribu kukumbuka mlipoanza darasa la kwanza.. Darasani mlikuwa wengi zaidi ya 100 mpaka mnaingia class kwa zamu, wengine mchana wengine asubuhi. Ilipofika Darasa la Nne Mkapita Wachache...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu yetu na mwanaharakati mwenzetu bwana BALILE hatimaye amegraduate jamani tumpeni hongera anazostahili lakini pia tusisahau kuwa the same BALILE aliwahi kuandika makala ambayo haikueleweka...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
I wonder why there are no black people in this list!!! Creative Genius: The World's Greatest Minds | Steve Jobs, Stephen Hawking & Albert Einstein | Geniuses | LiveScience Does it mean there are...
0 Reactions
1 Replies
989 Views
If you are looking for Green Card opportunity, the official Green Card Lottery (DV Lottery) application for 2013 intake is now OPEN. The application period is from October 4th - November 5, 2011...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
ni wazi kuwa wengi hatuwajui ma chancellors wa vyuo,, utakuta wengi wanaoonekana na kuhudhuria vishughulu ni vice chancellor, nkasikia chancellor wa udom ni Rais wa awamu ya tatu, vyuo vingine...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa wanachuo wote TANZANIA wenye mkopo : IMAGINE we ndo umekosa huo mkopo ulonao what will hapen, DONT NEGLECT WALE WASIO NA MKOPO, LET'S BE TOGATHER IN DECISION MAKING AND IMPLEMENTATION
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wale waliokuwa wanadai mkopo na kukutana wizara ya elimu, kesho wanakutana kwa waziri wa elimu saa 1 asubuhi, kiongozi ameniambia nitume kwa watu 10, nadhani kwa njia hii ujumbe umefika kwa watu...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ningependa kujua hiyo pesa inayotolewa kwenye pesa za mkopo inatumika wapi?
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Back
Top Bottom