WADOGO zangu mliomaliza KIDATO CHA SITA na umefaulu vizuri hebu chukua nafasi hii kutembelea hii tovuti hapa
www.sblfoundation.com
Nawapenda sana na ninawatakia mafanikio mema.Ngoja mie...
Im the student in mkwawa university,do you think the growing youths who are getting education in kata schools,in the fiture they will use their academic exllency to promote the...
Maazimisho ya miaka 50 ya chuo kikuu cha Dar es Salaam. Hebu tufikirie...ndani ya miaka hiyo, serikali imefanikiwa kwa yapi na imeshindwa kwa upande upi?
Kwangu mimi naona miaka 50 ni mingi...
Kuna mdogo wangu elimu yake ilikuwa hivi;alisoma shule ya msingi darasa la kwanza,la pili then akarukishwa hadi la nne alionekana kichwa akapelekwa form 1 akamaliza vzuri...
A self proclaimed American prophet who was embarrassed early this year after his end of the world prophecy failed to unfold has declared that the world coming to a final end this Friday 21st...
ndugu zangu, nimehamia dar hivi karibuni. nina mtoto wangu alikua anasoma darasa la kwanza. tafadhari mwenye kujua shule nzuri hapa mjini namaanisha shule binafsi anisaidie, kama hutajari...
Ivi hii mikopo ya vyuo vikuu nitatizo la bodi yamikopo au ni vyuooni?kwani tunashindwa kuelewa,tulishazoea kuwekewa hata kabla ya kufungua vyuo,mwaka huu imekuaje,tunaomba tujuzanine ili...
Bodi ya Mikopo pelekeni mapendekezo Serikalini kuwa kila Mwanafunzi wa Elimu ya juu anayepata Udahili katika Chuo chochote apatiwe mkopo na iwekwe utaratibu wa kuwaajiri ili waweze kulipa mikopo...
Hiyo Link hapo chini inasikitisha hawa dada zetu wanaiaibisha Afrika na hasa kuhusishwa kwa Watanzania.
Students involved in vice at city nightclubs a worrying trend
Students involved in vice at...
Serikali kupitia wizara ya afya inaanzisha degree ya udaktari wa binadamu ya miaka mitatu. Hatua waliyofikia hadi sasa ni kuandaa mtaala(curiculum) na watu walikuwa morogoro wiki yote hii kwa...
hamjambo wakuu?
Nimeona haka ka video na naona ni vema nikapost hapa wengine waelewe pia, kama nilivo elewa mimi. It is funny, entertaining and yet so scientific. ni lecture katika university...
Hivi utaratibu wa boom kwa mwaka huu inakuwaje wakuu, tunatupiwa kwenye hizo akaunti zetu au ni foleni kama first year? naomba MWONGOZO wale ambao tayari mshafungua vyuo maana naona siku zinakata...
Heshima wakuu...
Nauliza kama kuna chuo chochote hapa nchini kinachotoa mafunzo ya namna ya kuongea mbele ya kadamnasi. Hii inatokana na namna watu mbalimbali tulivyo waoga kuongea mbele ya watu...
Hili lilikua swali la kipima joto na lilinikera sana. Ina maana wazir wa elimu, maprof madr., ma waalimu wetu haina mana kuwa nao basi ka haikidhi. Ni hayo tu ndugu wadau mliosema (hapana) japo...
Dah sijui hi thread niweke wapi lakini kiukweli mwenzenu nina huzuni.
Everything seems to be working against me.
1.Niko chuo,continuing student lakini mkopo wangu hadi sasa haujaja na leo...
HABARI ZA KWENU??? Mi mzima kwa kweliiiii,samahani ndugu zangu hii mikopo inaanza kutolewa lini?? mi ni mwanafunzi wa mwaka wa 1 mahala fulaniiii..... KAMA NIMEKUUDHI,..........................
Habari wana JF? Tutafakari kuhusu mafanikio ya bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu katika utekelezaji wa mapendekezo ya tume iliundwa na raisi JK kutafiti mfumo bora wa utoaji wa mikopo...
Wakuu JF
nahitaji kufahamu ni sehemu gani katika mkoa Dar ama Arusha panapotoa mafunzo mazuri ya English course ya kuongea na kuandika kwa muda wa miezi 2 tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.