Wasomi wengi tanzania hawana faida wala msaada wowote katika taifa letu. Isipokuwa kwa wanasiasa, Je kwa kuanzia vyuoni, nini faiada ya msomi wa leo? KIFANYIKE NINI MSOMI AWE NA NAFASI YAKE TZ?
Wandug nmemaliza 4m6 na nategemea kujiunga na chuo kimojawpo ila mpaka cc huw naskia2 kuhsu aslmia za mkopo ila cjajua iyo asilimia 100,80 au 20 ni tsh ngapi na jins znavyotumika kulipia gharama...
Kwa wale wanosubiri selection za vyuo kutoka Tcu na grade za mkopo kutoka bodi ya mikopo kuachiwa kati ya leo ama kesho
source. wadau wa ndani ya tcu and heslb
Habari zenyu wana JF?
Nimekua nikipata shida na wasiwasi mkubwa kwa elimu yetu ya Tanzania hasa kutokana na namna mbalimbali zitumikazo kuwapata wasomi wa shahada mbalimbali za elimu ya juu...
Wadau. Mi naona sasa ni wakati muafaka wa kujadili kwa kina kuhusu mtihani wa kidato cha pili kuendelea kuitwa wa Taifa. Hivi una mantiki kweli! We jiulize kama wanaenda wote kidato cha tatu...
Mimi nimesikitika sana watz wenzangu je nyinyi mmelipokeaje? Ishu ni kwamba wahadhiri walikuwa wanamadai ya msingi kwa uongozi wa chuo hicho kilichokuwa na sifa zamani lakini sasa kimegeuka...
SECOND SELECTION APPLICANTS TO PLEASEREAD
1. Introduction
Second round of application is officially closed. This roundwas for applicants who did not apply during the first round of applications...
Tatizo la upungufu wa walimu hapa nchini hususani shule za serikali linapelekea wanafunzi wengi hasa watoto wa wakulima kutofanya vizuri katika masomo yao na kuishia kufeli vibaya.
Serikali...
kwasababu wanatoa hahadi alafu hawatekelezi,mfano kujenga nyumba za walimu ambazo ndiyo ni sababu ya waliomaliza chuo na hawaendi kufundisha ukiwauliza hakuna maitaji,mfano mwingine vifaa vya...
Kwa mara yangu ya kwanza Tanzania chuo kinafungwa sababu mkuu wa chuo na walimu wahihitilafiana wanafunzi waahirisha masomo.naomba ufafanuzi kwa wanaoelewa jambo hili
Baada ya wizara ya elimu kuridhia uanzishaji wa shule za binafsi na kuona utitiri wa shule zisizo na ubora sasa hali hiyo imehamia kwenye vyuo vikuu.sasa hivi kuna vyuo vikuu miundo mbinu yake...
Computer is an electrical machine capable of installing and processing large amount of data or information and performing calculation and other things.Computer as computer can be used as the good...
Nimeona katika jamii yetu watu wengi wanatapeliwa kwa kutokujua nani anafanya ni nini,ningeomba kila mtu aelezee japo kwa ufupi proffesion yake,for example im a teacher my work is teaching primary...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.