Waungwana napenda kuileta mada hii ili 2weze kuijadili kwa uwazi na zaidi;
Mikopo ya vyuo vya elimu ya juu nchini kuwa inatolewa na vyuo usika, je ? itakuwa suluhisho katika uta2zi wa migogoro...
Habari zenu wanajf. Mimi niliwahi kusikia juu ya hii miradi miwili Singida 1.Kuanzishwa kwa UNIVERSITY OF SINGIDA 2.Kujengwa kwa HOSPITALI YA RUFAA YA SINGIDA. Kwa kuwa naamini hapa...
Habari zenu wanajf. Mimi niliwahi kusikia juu ya hii miradi miwili Singida 1.Kuanzishwa kwa UNIVERSITY OF SINGIDA 2.Kujengwa kwa HOSPITALI YA RUFAA YA SINGIDA. Kwa kuwa naamini hapa...
SERIKALI imetangaza kwamba wanafunzi wa sayansi za tiba waliopata udahili kwa ufaulu wa daraja la kwanza na la pili watasomeshwa bure.Mbali ya wanafunzi wa madaraja hayo, hata wale wa wenye ufaulu...
Tunapiga kelele siku zote kuwa Taifa l Tanzania lina uhaba wa watu wa mahesabu na sayansi kwa ujumla. Kuna mtu yuko vijijini kanitumia sms nimwangalizie mwanae kachaguliwa kuendelea na masomo...
Jamani wana JF, tujaribu kung'amua hili...
Hivi mgogoro unaoendelea Taasisi ya ustawi wa Jamii ni wa kisiasa? Na je, Wizara na top Oficials wengine (hadi JK) wanafahamu nini hasa chimbuko la...
Wadogo zangu wale ambao mtaona Majina yenu hapa,Tafadhari Zingatieni maelekezo yafuatayo:
1.Kwa Wale ambao walisha Aplly mara ya kwanza : Kama Jina lako lipo katika Orodha Hii,Apply Upya na...
Eti wadau wa JF watoto wanaobahatika kupitia Kayumba(shule za uma) na hawa wa St flan flan(private or english medium) je? Wanaleta Tabaka la utengano na Je Wakifika ni kweli Kayumba huishia...
Salaam wanaJF!
Kwa wale waliosoma vyuo vikuu hapa Tanzania haswa wakati utaratibu wa mikopo kupitia bodi ya mikopo, wataelewa hili jambo. Wakati wa kuingia mkataba na bodi, mkataba ulisema kwamba...
Clark's Sector Model (1950)
There are four key industrial economic sectors: the primary sector, largely raw material extraction industries such as mining and farming; the secondary sector...
Wadau naomba mwenye information za kutosha kuhusu vyuo vikuu Malaysia hasa kwa upande wa
Ada zao
Intake za masomo zinakuaje?
Requirements zao
nitashukuru sana
Wana jamvi naomba kujuzwa,hivi inawezekana kufanya mtihani wa kidato cha sita bila kuwa na credit(c) tatu za o'level?kwani nimeona orodha ya majina TCU ya watu waliokosa udahili wa chuo kikuu kwa...
habari zenu wakuu,mwaka huu mwezi wa tatu udsm ilikuwa 25 kwenye best universities in africa ila list mpya ya july udsm imeshuka vibaya sana mpaka 38
angalia hapa Ranking Web of World...
CHUO KIKUU CHA UDAKTARI CUHAS-BUGANDO NI CHUO CHA UBABAISHAJI. HIVI MAJUZI mKUU WA KITIVO CHA UDAKTARI ALITAKA KUWAFUTIA UDAHILI WANAFUZI WA MWAKA WA TATU ETI HAWAKUFANYA MITIHANI KATIKA MASOMO...
Scholarship hiyo:
2012 Joint Japan & World Bank Scholarship for Developing Countries at Yokohama National University, Japan ~ Scholarships for Tanzanians
Wengi wao hasa ma-professor ni wababaishaji! Wanajifanya hawana muda, na mara nyingi huwa hawamalizi syllabus. Wakiulizwa wanatoa majibu mepesi tu, kwamba upo university, no more spoon feeding...
Maonyesho ya ubunifu uliofanywa na wanafunzi wa mkoa wa kilimanjaro jana ambao wanafunzi walionyesha vitumbalimbali walivyo buni ambapo shule ya same iliibuka wa kwanza kwa kuonyesha mashine ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.