Kwa niaba ya Watanzania wote wapenda maendeleo na wazalendo wa kweli, Napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa wahitimu wote wa kwanza wa UDOM.
Tunaamini kuwa mtatoa mchango mkubwa katika...
Hali ya ulinzi na usalama dhidi ya rais kikwete imezidi kuimarishwa siku hadi siku. Pamoja na kuwepo kwa mitambo ya kukagua watu waliokua wakiingia kwenye ukumbi wa chimwaga siku ya uzinduzi na...
Hali ya ulinzi na usalama dhidi ya rais kikwete imezidi kuimarishwa siku hadi siku. Pamoja na kuwepo kwa mitambo ya kukagua watu waliokua wakiingia kwenye ukumbi wa chimwaga siku ya uzinduzi na...
Hali ya ulinzi na usalama dhidi ya rais kikwete imezidi kuimarishwa siku hadi siku. Pamoja na kuwepo kwa mitambo ya kukagua watu waliokua wakiingia kwenye ukumbi wa chimwaga siku ya uzinduzi na...
Habari wana forum.
Naomba msaada kwa mtu yeyote ambaye anajuwa principles govering social security(example NSSF,PPF)here in Tanzani.Please with references.
Tafadhali its urgent.
Asante.
I am currently a third year student at Mzumbe University, under grad. I'm also a member of the student gov and many other things. I could safely say that I try to be an active student and take...
Napenda kujua UDSM waliwakilishwa na kiongozi gani katika uzinduzi wa UDOM uliofanyika jana. Nauliza kwa sababu wakuu wa vyuo mbalimbali vya umma na binafsi walialikwa lakini mabosi watatu wa juu...
Prof mukandara makamu mkuu wa udsm amekiri kuwa kiwango cha elimu ktk chuo hicho kimeshuka kutokana na maandalizi duni ya wanafunzi wanaodahiliwa!huku jk atamba kujenga vyuo vikuu kila kanda jee...
WanaJamvi nawasalimu kwa jina la Mungu muweza, Kwa mara nyingine tena najitokeza kuomba msaada wa namba ya yeyote kati ya hawa Director, Loan Allocations and Disbursements au muhusika yoyote wa...
Jamani nisaidieni kujua. Eti Boom hupewa wale wanafunzi walioomba mkopo toka Heslb tu? Au mwanafunzi yeyote aliye dahiliwa kwenye chuo chochote cha elimu ya juu bila kujali ameomba mkopo au...
Habari wasomi wote wa jf.
Nachukua kozi ya uhasibu. Natakiwa kuchagua masomo mawili kati ya haya.
1.organizational behaviour
2.money and capital markets.
3. Public sector accounting and...
Ndugu zangu nimekuja kugundua kuwa hawa jamaa wetu wa vyuo vikuu nao hawafai.kuna rafiki yangu alimaliza chuo chake india ila cheti chake kilikosewa jina asa kwenye kufuatilia ndiyo wakafika...
Kwenye Channel Ten Profesa Idrissa Kikula ambaye ni mwendeshaji wa Chuo Kikuu Dodoma alitangazia umma ya kuwa katika uzinduzi wa Chuo hicho ambacho sasa kinatimiza miaka minne seneti ya chuo hicho...
Kuna waandishi wengine wanapaswa kuwa na akili, yawezekana hata kazi yake ni ya kuchomekwa tu!! Huwezi kusema UDOM ndo wamesema haya kwa kupitia kapuuzi kamoja kalikokuwa na Ridhwani kwenye kuomba...
Hello brodaz and sisters,
naombeni msaada wenu hivi inawezekana kuhama chuo kimoja na kuendelea na masomo chuo kingine? Sheria inaruhusu au?
Mind you that hakuna change ya course na ni...
Kwa kweli sasa elimu yetu ya kibongo nayo imeingiliwa na wachakachuwaji,mi sikutegemea kama hawa wanaojiita wasomi kutoa tamko la upande mmoja,nadhani wakati wa uchaguzi kulikuwa na matatizo mengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.