Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Nimekuwa najiuliza sana hili swali, miaka ya karibuni hili vazi maalum la mahafali limekuwa likivaliwa kiholela holela tofauti na zamani...Je kuna stage maalum ambayo mtu akifikia anatakiwa avae...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
One night 4 university students were boozing till late at night and didn't study for the test which was scheduled for the next day. In the morning they thought of a plan. They made themselves...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ndugu zanguni,naomba msaada wenu wa mawazo,sasa ni mwanafunzi wa telecommunications engineering mwaka wa pili,kozi ya miaka minne,nina nia ya kuja kusoma masters baada tu ya kumaliza hapa,nianze...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
FROM:MATONDO Utakuta darasa lina wanafunzi 100, na kati ya wanafunzi hawa pengine wawili, watatu na hata mmoja tu ndiyo atapata "A". Hata madarasa makubwa yenye wanafunzi 300, eti wanafunzi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
........[closed]
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza sana wana JF, you are real a home of GREAT THINKERS,huwa napenda sana kusoma mambo mbalimbali kutoka kwa wadau na nimejifunza mambo mengi sana,hatimaye...
0 Reactions
2 Replies
9K Views
Bila kusahau kuzingatia umri wake 43yrs now so wana JF naomba ushauri uzingatie na umri wa jamaa. Nafahamu kabisa hapa nitapata msaada we ukweli ninaoamini utanisaidia, Nina mpango wa kuendelea...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kama kuna waliosoma Hanga na Likonde seminary tukumbushane jamani!!
0 Reactions
0 Replies
3K Views
kwa kuangalia haraka haraka tuu, kama watu wengi wa humu ndiyo wamesoma udsm, kweli kazi ipo huko nyumbani.
0 Reactions
85 Replies
10K Views
Hi, jamani, naombeni msaada wenu wa mawazo. Nina somesha mtoto wa dada angu, shule ya secondary, mama yake alisha fariki na baba ake katiwa ndani, kafungwa kiufupi. Huyu mtoto sasa amenichanga...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
kama kuna yeyote aliepitia shule ya mawenzi sec. Moshi mjini kuanzia miaka ya 80-90 naomba anijulishe ili tupashane ya wakati huo za enzi za mwalimu machachari mr. Sango sijui kama yuko hai! pia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana jamii forums, nahitaji msaada wa research proposal, na hitaji research proposal yoyote ile iliyo base katika masomo ya accounting, naweza sema business administration in general. wadau...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Wakati wa uchaguzi nilibeza uamuzi wa tambo za wanaharakati kuandamana kuhusu wanavyuo kuondolewa vyuoni wakati wa uchaguzi. Nilisema haikuwa ktk wanavyuo wenyewe. Wanavyuo wengi wawapo vyuoni ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Uongozi wa wanafunzi Udom wamekanusha taarifa kuwa walitoa tamko kulaani hatua ya Chadema kutoka bungeni ( soma majira Jpili). Wanasema aliyetoa tamko ni mwanafunzi mwenye kiherehere wala hana...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
You loose nothing on trying. Do it again and again untill you get one. COPY AND PASTE THE LINK BELOW AT YOUR BROWSER: Erasmus Mundus International Masters in Economy, State & Society ...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali ya wanafunzi wa Udom imekasirishwa na kitendo alichokifanya Thobi Richard na muda wote ilikuwa inafikiria namna ya kumuadabisha dogo. Kwa habari iliyonifikia muda huu kutoka ndani ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana JF naomba msaada,Mimi sielewi kwa nini Wanasiasa wengi siku hizi wanapewa PHD na vyuo mbalimbali Mfano:DR.Amani abedi Karume,Dr J K Kikwete Leo nimeona kwenye TV Uongozi wa UDOM ukimkabidhi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jana trh 25 Nov 2010 rais JK alizindua chuo kikuu cha dodoma. Kati ya wageni waalikwa kulikua na wakuu wa vyuo mbalimbali vya umma na vya binafsi. Sina hakika nani aliwakilisha mzumbe na sua ila...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakubwa ebu tujadili uwezo kitaaluma wa wajuzi wetu wanaoanza kazi wakitokea vyuoni ni kwa nini unakuwa ni mdogo sana. Tatizo liko wapi,mitaala,mapokeo ya kidunia(kusoma kwa lengo la kutafuta...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu, Nina mdogo wangu wa kiume ana miaka 14, ambaye amaemaliza darasa la saba mwaka huu katika moja za shule za msondo ngoma, na nimemchukua kutoka kwa wazazi ili nimsomeshe elimu bora...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom