Wednesday, 23 June 2010 00:00 Bernie Douglas By Bernie Douglas
The less ecologically rich environments of Europe and other non-tropical ecosystems when compared with the more varied and...
INVITATION TO CONTRIBUTE TO THE SPECIAL COMBINED ISSUE No. 4 and 5, OF CHEMCHEMI
This and next year many African countries, including Tanzania (Tanganyika) will be celebrating 50 years of their...
Wakuu, nilikuwa napitapita huku na kule nikaikuta hii pale UDSM. Nilifanikiwa pia kuangalia jinsi mode of delivery ya hizo programmes itakavyokuwa, na kwa kuwa mazingira yake yalinivutia nikaamua...
Hello colleagues! I am a student at one of the distance learning university. I have this assignment and I dont
know how can I go abou it. Please help me. this is the question
''Think of the...
Ukifika board ya mikopo kwa lengo la kurejesha form zako/za ndugu/jamaa/rafiki/mpenzi wako utakura rundo la watumishi wa board hiyo wakiwa chini ya vivuli kuhudumia wateja (warejesha form) kwa...
Call for Applications - Deadline: 30 June 2010
New Fellowship Programme
The Future Agricultures Consortium (FAC) aims to encourage critical debate and policy dialogue on the future of...
Ama kweli wahenga walisema kwenye Miti hakuna wajenzi, sasa ndio naanza kutambua kuwa waliona mbali, nasikitika sana kuona waliondoka bila kutuachia namba za simu wala sanduku la posta huenda...
Wanafunzi wa vyuo vikuu vilivyo Dodoma (wanachama wa CCM) leo wamefanya maandamano ya kumunga mkono Mkwere kama mgombea pekee wa urais kwa tiketi ya CCM. Huu ni ujinga na kukuosa kujitambua...
habari zenu,
ninaomba msaada wa kisheria
* kwa mfano umeolewa ukamkuta mwanamume na nyumba aliyoridhi kwa mzazi wake .
kama kiwanja ni kikubwa ukijenga nyumba nyingine ni kosa? . Je utakuwa...
MAPENZI aliyeonesha Mheshimiwa kwa Chuo Kikuu Dodoma laiti pia yangelipewa angalau nusu vyuo vingine hakika malalamiko mbalimbali ya wanavyuo yangelipungua kwa kiasi kikubwa.
Vyuo vingi hapa...
Wanajamii wenzangu, natoa hili wazo kama mtanzania.
Wapo wenzetu wengi wanaoishi kwenye mazingira magumu na wanasali na kuomba ili siku waamke wakute wamebahatika kujikuta wako shule/chuo...
Uongozi wa CCM tawi la UDOM college of Education chini ya mwenyekiti Nickson Mmanyi wiki iliyopita ulitangaza kujiuzuru uongozi baada ya wanachama wake kugomea uchaguzi wa viongozi uliotakiwa...
Invigilation technology allows exams be taken anywhere
BBC News education reporter
Could signs like this be a thing of the past?
Forget the dread of queuing up outside the exam hall...
A student needs an ASSISTANCE from a French teacher for a 1 to 1 course for at least 20 hours min.which will help her work in a French speaking country.
She has some basics in French. please pm...
Naomba kwa wenyeji wa mkoa huu wanisaidie, ninatafuta english medium primary school yenye mazingira mazuri ya boarding, ninawahamishia watoto wangu moshi na ningependa wawe boarding kwa sababu...
Wakuu,
Kwa yeyote anayejua, naomba anisaidie utaratibu ninaotakiwa kuufuata ili niweze kusajili shule ya msingi mjini DSM, Tanzania.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa msaada wenu
Miongoni mwa masharti ya kujiunga na shahada ya Uzamili katika vyuo vingi vya nje (Ulaya, Marekani na kwingineko) ni kuwa na uthibitisho wa kujua lugha ya Kiingereza kwa usahihi. Katika hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.