Matokeo ya kidato cha sita kwa mwaka 2010 yametangawa rasmi. Unaweza kuyaangali yote kupitia website ya NECTA iliyopo hapa chini.
www.necta.go.tz
Soma Pia: Matokeo Kidato cha Sita 2009
Wednesday, 21 April 2010 19:39
Felix Mwagara na Minael Msuya
HASARA ya Sh752.4 bilioni iliyopata serikali kutokana na misamaha ya kodi imewakera wasomi na wanasiasa ambao sasa wameitaka iifute...
You can win cash to pay for your college tuition fees by joining a 50 questions challenge. Visit www.nisaidie.com for details. This challenge is designed for college and university students but...
Wakuu hii imekaaje
scholarship za Newzealand wanasema kwa mtanzania lazima matokea ya IELTS
Kwa Kenya, Zambia, zimbabwe na Africa kusini hayahitakiji
Na hiyo IELTS kwa hapa kwetu inafanyika wapi...
please jamani hawa tcu wamefanya maisha kuwa magumu
1} kujiunga kwa sms sawa
2) vocha ya tsh 30000 inapatikana crdb
hakuna mwongozo wowote mwingine??
crdb wanasema nenda posta au library...
Salaams Wanasheria,
Tafadhali, Nisaidieni majina ya vyuo vikuu vya nje vinavyotoa degree za Sheria zinatambulika hapa TZ. Umri wangu (49 yrs) kuketi na darasani ni noma.
Ahsanteni sana,
Edylux
:A S clock: for Women Scientists from Sub-Saharan Africa and Least Developed Countries (LDC) at Centres of Excellence in the South. The Fellowship is offered to women scientists to pursue...
Kampala
Teachers wishing to conduct lessons during holidays can now do so, but after seeking clearance from the Education Ministry, an official has said. We are advising teachers who are willing...
Kuna busara moja inayotuasa kuwa mpuuzi husema kwa vile anajiskia kusema (hata kama ni upuuzi) ilhali mwenye busara husema tu pale anapokuwa na kitu cha kusema (ikimaanisha kama hana cha kusema,au...
Jamani nimejaribu kuwadadisi watoto wanayojifunza shuleni(english medium na non english medium) nimegundua kuwa bado wanafundishwa yale tuliyofundishwa zamani ambayo nadhani ni upotoshaji kwa...
Maji ni maisha = Water is Life
On a small brick building near the town center of Mbori in the East African nation of Tanzania, a sign reads, Maji ni maishaWater is Life.
It is a message of...
Wakuuu muda si mrefu nimekuwa nikitaka kujiendeleza kaelimukangu kutoka hapa nilipo mpaka kwenye hatua nyingine.Sasa mambo ya kazi ya naninbana ila katika kusurf nimekuja kukuta Liverpool...
Na Salim Said
WIZARA ya Elimu ya Zanzibar, imewataka walimu wa shule za serikali wanaovaa baibui kujieleza kwa maandishi sababu za kuvaa nguo hizo wawapo kazini.
Waziri wa Elimu wa Zanzibar...
Nilikuwa na tafuta taarifa fulani kuhusu Mkoa wa Ruvuma kupitia mtandao nikakutana na tovuti zaidi ya tatu zinaelezea kabila la watu wasomi zaidi hili:
<H1 class=firstHeading>Ruvuma
Ruvuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.