mwenzenu nimepata chuo UK (scotland) kinaitwa aberdeen,nataka kusoma masters ya education.lakini sijapata mdhamini.Naomba mnisaidie nifanyeje ili kupata sponsor huko UK,au watu gani wanaotoa...
Heshima zangu kwa wanataaluma na wanazuoni wa JF!
Nikiwa najua kuwa mafanikio ya mtu ki-maisha hayatokani tuu na kozi aliyosoma, natambua pia kuwa kozi uliyosoma ina mchango mkubwa hasa kama iko...
Kwa wale wa miaka ile mnakumbuka zile AUTO ambapo mtu alikuwa anamuomba mwenzake ajaze kwenye auto personal particulars kama names, parents names, likes, dislikes, ambitions, ushauri kwa mwenye...
Exam fee imefutwa hata kwa private candidates au kwa school candidates pekee? Maana jana nimeenda posta kuchukua form nikaambiwa malipo ni palepale 40,000/=. Naomba msaada wadau.
Wakuu kama mnavyokumbuka serikali imefuta ada za mitihani kwa shule za serikali tu. Je hii ina maana kua anayesoma private schools ni lazima awe na uwezo? Sii kwamba amekosa nafasi ya kujiunga ba...
Ninahitaji kuelekezwa vyuo vinavyotoa online degree hapa Tanzania. Kama hakuna nahitaji vya nje. Niwekee websites nk.
Ninataka kufanya MBA, Logistics/ International Transport au maeneo mengine...
wajameni,naomba mniambie chuo kinachotoa course inayo jitegemea ya project manaement kwa mtindo wa evening classes na iwe ni kati ya miezi mitatu hadi mwaka,kiwe kinajulikana na kiwe hapahapa...
Nimefatilia sana kuhusu time inayotokea earthquake kubwa, nimeona mara zote ni usiku, kwa mfano la Chile lilotokea saa 9 na nusu usiku kwa saa za Chile, Haiti ilikuwa usiku, China usiku, Italy pia...
Hello Great Thinker!
I found this site useful and think will be better to share with you. Go to this site www.4shared.com and enter the name or title of the book you are looking for at the search...
The Monitor
Makerere has overtaken Dar es Salaam to become the highest-ranked university on research publications in East Africa.
The rankings, published under the Webometrics Survey, are...
Twins aged 9 youngest ever to be given secondary school place
Source:The mirror Uk
By Rebecca Evans 1/03/2010
Nine-year-old genius twins youngest ever at 'big' school
Twins aged nine are...
By Francis Kagolo
ABOUT 500 academics at Makerere University are to lose their jobs in the ongoing restructuring, the university announced yesterday.
The process, expected to be concluded in...
Muujiza katika chembe ya Atomu
Harun Yahya
Mbingu:
Pamoja na wanasayansi kufanya jitihada kubwa za kitafiti kubaini ukubwa wake, mapana na umbali wake, ukubwa wa umbile la mbingu umepindukia...
OPPORTUNITIES IN THE FIELD OF BIOSAFETY
BIOSAFETY WEB PAGESFive Fully-Funded One-year Master Fellowships in
GM Crop Risk Assessment
Introduction to BiosafetyDatabasesThe International...
JF thinkers. Hivi:
1. Kwanini pua inatokwa na 'kamasi' pale unapokula chakula chenye pili pili? (inanitokea mimi, na huwa si mpenzi wa pilipili sasa sijui kama hii ni kweli kwa waliozoea vyakula...
Emmanuel Nchimbi alipokuwa mkuu wa wilaya ya Bunda-Mara alijipa ujiko na kuipa shule ya sekondari jina lake akiongeza na Title ya Udaktari feki wake.
Jina shule bado linaitwa Dr.Nchimbi sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.