Friday, February 12, 2010 10:41 AM
MSICHANA Joyce Aloyce [18] mkazi wa Shekilango jijini Dar es Salam, ametoweka nyumbani kwao baada ya kupata majibu yake ya kidato cha...
Nimesikitishwa sana na matokeo ya kidato cha nne. Katika matokeo hayo zaidi ya 82% ya wanafunzi waliofanya mtihani, wamepata division zero au four!!!!!! Tunaenda wapi??? Ni lazima tujiulize...
Hello fellow member!
I need help on ideas about challenges faced by both general Teachers and pupils with hearing impairment(deaf pupils) in general classes' settings, plz kama kuna mtu mwenye...
Hivi kuna mvumbuzi au scientist wa nguvu like elbet eistern, Galileo, Isaac newton, Kekule, Kalman , sharpov, n.k ambaye ni black?
Kama yupo anaitwa nani na alifanya nini?
Kama hakuna ni...
Nafikiri serikali ya Tanzania(SISIEM ),inabidi itoe heshima ya hali ya juu
kwa chuo hiki kwa kuelimisha Viongozi wetu wengi kuanzia Mh Lukuvi (BA degree ) Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam ,Mbunge wa...
1.Maskini,waoga na washamba-SUA
2.Matajiri,wajanja na wenye akili-MZUMBE
3.Wenye akili chache,wavivu na matozi,master duu-CBE DAR
4.Malaya, wasanii,wauza sura na wasio jiweza kiakili-IFM
5.Upeo...
CHANGAMOTO mojawapo inayochangia kushuka kwa elimu ya msingi mkoani Shinyanga imeelezwa kuwa ni kutopatikana kwa ufumbuzi wa kupatiwa chakula cha mchana kwa wanafunzi.
Hayo yalibainishwa mwishoni...
Hivi sasa taasisi nyingi za elimu nchini na hasa vio vikuu viko katika mitihani, ila cha kushanga zaidi ni baadhi ya wanafunzi wengi wa kike pale CBE hupenda sana kutumia vimbomu na wako tayari...
New Zealand Development Scholarship 2010
The New Zealand Development Scholarships (NZDS) scheme offers the opportunity to people from selected developing countries to undertake...
Kuna jamaa yangu anatafuta silabasi (Syllabus) za somo la muziki katika shule za sekondary za o level na o level. Yupo nje ya Tanzania kwahiyo yeyote mwenye kuwa nayo au kutoa ushauri wa wapi kwa...
Dar es Salaam ni makao makuu ya kila kitu kwa nchi yetu Tanzania, hata kama tutajidai makao makuu yapo Dodoma. Harakati za maendeleo ya nchi karibu kila kona ya maisha kitovu chake kipo DSM...
Hello Great THINKERS!! Nimeangaliaa kwenye TV jinsi KOVA anavyoliongelea swala la Jerry Muro nikapata shida sana na Inteligence ya huyu kamanda. Nani anajua CV yake academically?
Habari Wanajf,
Ninaomba kama kuna member anaweza kunisaidia kupata kitabu cha hisabati darasa la tano kilichochapishwa na Ben & Company.
Mdogo wangu anakiitaji sana kiweze kumsaidia kumudu...
MBEYA INSTITUTE OF SCIENCE AND TECHNOLOGY
(Accredited by National Council for Technical Education)
ADMISSION TO BACHELOR DEGREE PROGRAMMES FOR THE ACADEMIC YEAR 2008/2009...
Asalaam jamani kuna swali nataka niulize tunasikia kwamba zipo shule nyingi za private ambazo zinapandisha bei ya elimu kila mwaka je nini kinafanyika kuzuiahili itafika wakati hatutaweza kubeleka...
Jamani ninajaribu kujifunza sheria ya ushahidi nikakutana na swali lifuatalo
(a) A agreed in writing to sell a house to B for shillings 10,000/= or shs 15,000/=. Can evedence be given which price...
Dili kwa vijana wa Tanzania, hasa hasa kwa wale waliomaliza Form 6 au wapo Form 6 sasa hivi. Ningependa kuwajulisha kuwa maombi ya kujiunga na vyuo vya Finland yameanza na deadline ni February 12...
Ni asubuhi yapata saa 12.25 nimejipumzisha nyumbani mara nasikia hodi, kutoka nje ni kundi la watu wapatao 11 miongoni mwao yuko katibu,mkit,balozi etc wakijitambulisha kwao kwamba ni serikali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.