Scholarship Description
The International Peace Research Association Foundation invites applications for the Dorothy Marchus Senesh Fellowship in Peace and Development Studies for Third World...
Eti wandugu what are key issues (things to note) on dissertation presentation?
Tafadhali naombeeni msaada kwa waliowahi kufanya au kufanyiwa?
Natanguliza shukrani.
Hello Colleagues! Mimi ni mwanafunzi nafanya masomo kwa njia ya distance, nimepewa assignment ya IT naomba fame work on how to get started. huna hili swali linauliza hivi '' How current and future...
Wahadhiri, wanafunzi OUT kujitetea mara mbili
Imeandikwa na Gloria Tesha; Tarehe: 17th November 2009 @ 22:00 Imesomwa na watu: 31; Jumla ya maoni: 0
WAHADHIRI wanne na wanafunzi...
Habari wanajamii. Huwa mara chache nafuatilia mahojiano ya wanafunzi wa shule mbalimbali za Sekondari nchini katika Bunge la Wanafunzi. kipindi hiki huwa kinarushwa na TBC1 kila Jumapili.
Kwa...
1. Totalitarianism (total rule)
Ruled by an ideology that penetrates every nook and cranny of its society. The regime is often headed by a cult of personality type leader. The government gets...
Kwa sasa vyuo vilivyokuwa vinatoa advanced diploma (kiswahili chake kinanichanganya) sasa vinatoa digrii. Kwa kutaja vichache ni km vile Mipango Dom, IFM, CBE, DSA(TIA), n.k. Hofu yangu ni pale...
UTAMADUNI WA KUSOMA/KUJISOMEA
Siku chache zilizopita nilikuwa na kasafari ka kwenda mkoani morogoro kwenye basi nililopanda mimi mwenyewe ndio nilikuwa na gazeti la kusoma nakumbuka nilikuwa...
Care Instruction: Symbols & Content Care Labels
Watu wengi huwa tunafanya makosa kwenye kuzitunza nguo zetu na haswa inapofikia kwenye kuzisafisha kwa machine... Ni watu wachache sana wenye...
VLIR-UOS Scholarships 2010-2012 (in Belgium)
Overview of the VLIR-UOS funded International Training Programmes and the International Master Programmes.
VLIR-UOS awards scholarships to students...
Matangazo mengi ya kazi yanatoka! Lakini utakuta masharti ni magumu sana! Mfano; "A minimum of 15 years of lead experience", sasa ndugu zetu wahitimu 'fresh from university', 'school' watapataje kazi?
Hi,
Join the world recognized MBBS program in Ukraine.
You can now earn your MBBS degree at an expense less than 30% by doing it in one of the most reputed universities in Ukraine with world...
Jana nilipokuwa naangalia taarifa ya habari TBC1 kulikuwa na habari ya ziara ya JK nchini misri na alipata nafasi ya kuonana na watanzania wanaosoma nchini humo.
Katika mazungumzo yake na hao...
Below are the list of 100 Best Universities in Africa.....2009
Jamani do u think the list is somewhat true?...na hawa viongozi wetu hivi wanaangaliaga hizi takwimu
Our so called "Mlimani"...
Ninakusalimuni nyote wanazuoni na wana JF kwa ujumla wenu!
Ninahitaji kufanya research juu ya vikwazo vya maendeleo ya elimu katika mikoa ya Rukwa na Kigoma. Ninaomba takwimu hizi kwenu, endapo...
In 2001, the e8 established, as a pilot project, a Scholarship Program to encourage and support the study of sustainable energy development worldwide.
These scholarships were made available to...
Hussein Kauli na Salim Said
KILIPOANZISHWA Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT) ilionekana kama vile kimewalenga watu wachache tena wa umri mkubwa ambao hawakupata elimu ya juu. Baada ya jamii kuona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.