Waungwana. Nawasalimu!
Naomba mnisaidie kujua haya:
LINI NA WAPI MATURE AGE ENTRY HUFANYIKA?
CANDIDENT ANATAKIWA AJIANDAE/AANDAE NINI ANAPOENDA KUFANYA HIYO TEST? JE,FEE NI SH NGAPI...
http://www.youtube.com/watch?v=5B9NoWxKfRY
Note: This is ONLY to be used to report spam, advertising messages, and problematic (harassment, fighting, or rude) posts.
Wana JF,
Nilipita Juzi Arusha Kusalimia ndugu na Jamaa, Lililonistahajabisha ni kijana wa Shangazi yangu Anaesoma Themi Secondary School, Aliponiambia Hawatofunga shule mapema Kwani Head Teacher...
Application Deadline: January 31, 2010
The German Academic Exchange Service (DAAD) has announced that for summer 2010 it will again offer the RISE (Research Internships in Science and...
Wadau wa JF hebu mnisaidie hili, hivi hizi kamera za cctv zinaweza kweli kubaini mtu aliyeiba mtihani toka ofisi za Baraza la mitihani na kutoka nao nje?. Kwa sababu kunatakiwa awepo mtumishi...
Wana JF,
Salaam.
Naomba kujua ni njia ipi ambayo ni nzuri na salama kwa utunzaji wa VYETI AU NYARAKA haswa vyenye thamani kama degree kubwa na kuendelea,ili kuepuka vitu kama moto,kuloa au kuwa...
Nataka kusoma masters ya Public health kwa hapa Tanzania.
Naomba wana jamii mnisaidie ni chuo gani kwa hapa Tanzania naweza kupata chuo nikasoma.
Kuhusu qualification i have the qualification to...
Hivi Tanzania kuna 'child prodigies' (watoto/vijana wenye upeo mkubwa kiakili usiolingana na umri wao) ambao wameweza kuwika katika anga mbali mbali ukubwani?
Je, kuna program zozote zilizopo...
Disclaimer: If you are not interested in 'Political' Philosophy or 'Astronomy' and 'Theology' kindly opt out of this thread!
According to Bluray, the singularity is near. Now before we even...
Habarini wajameni;
Nina ndugu yangu alizembea kusoma akaishia la saba.
Sasa ameibuka anataka soma. Nasikia waweza soma na kupata cheti za form 4 ndani ya 2 years. Je hiyo form 4 utakaopata kwa...
A Member of Parliament has been expelled from a university over examination malpractice.Mr Barnabas Tinkasiimire, an NRM MP for Buyaga County in Kibaale, was on Monday discontinued by the Islamic...
Hii thread nimeianzisha kwa ushauri wa Max aliyesema kama ninataka nianzishe ili apate kunijibu.
Kila mtu ana uhuru wa kujadiliana ila sitopenda copy and paste
Nataka vile mtu alivyosoma mwenyewe...
Wakubwa, nimesumbuka sana kuongea na wataliano kwenye makampuni yangu ya utalii hapa Arusha. kwa sasa nimehamia hapa bongo ya Daslam. nataka kusoma kitaliano kidogo, naombeni ushauri, ni sehemu...
Habari wana jamii
Nimejitokeza na kero hii ambayo imekua ikiwaesa sana wanachuo wa chuo kikuu cha Tumaini Iringa
Kuna mfanyakazi mmoja anafanya kazi ya kutoa transcript za matokeo pale chuoni, kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.