Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Ndugu wanajamvi, Wasaam. nimekuja hapa kuomba mchanganuo wa gharama za kusoma CPA na ACCA kwa hapa tanzania. ninafahamu kuwa inategemea na tution centers. ila kwa mimi ninachoomba ni upande wa...
2 Reactions
20 Replies
24K Views
Msaada tafadhali Nimejaribu kucheki vingi naona vimeshafunga application kwa masomo ya post graduate!! Udom n Bugando? Vyuo gan ambavyo havijafunga application?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari Wana Jambo Naomba kujua kama kuna Uwezekano kwa Mwanafunzi aliyefeli Kidato cha nne kwa alama div 4 30 mwaka Jana, anaweza Kupata nafasi shule yoyote ya serikali arudie kwa kuanzia Form 3.
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu mada hapo juu yahusika. Naomba kupatiwa nakala hapo juu. Natanguliza shukran
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za wakati wakuu. Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa. Nikienda kwenye mada. Ni maoni yangu kwamba kutokana na ongezeko kubwa la walimu mtaani. Naona iko haja kwa serikali na taasisi za...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Naomba kufahamishwa ni wapi nitapata chuo kinachofundisha ufundi pikipiki,kuna mdogo wangu nataka nimpeleke akajifunze ufundi kwanza baadae nitamfungulia duka la spea za pikipiki...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
MSAADA JAMA... :help: Mimi ni mmoja kati ya wanafunzi walio maliza kidato cha nne mwaka 2014,malengo yangu ni kuwa mwanasheria wa kampuni lkn nimebaina kuwa kuna kazi nyingine bora zaidi...
0 Reactions
44 Replies
27K Views
Habarini! Wakuu nahitaji msaada wenu, Mwezi wa 3 tarehe 21 natarajia kufanya huu mtihani wa IELTS. Lengo langu ni kuscore 7.5+ na siwezi bila kupata muongozo wenu kwa watu waliokwisha fanya huu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
1. Components of research design 2. Analysis of research is done in stages. Explain
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna dogo kapata matokeo yafuatayo katika mtihani wa form four- 2021 na hataki kwenda advance. Civics- C Geography- C History- C Kiswahili- B English-C Biology-C Chemistry-C Physics- F Maths-D...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari zenu za muda huu wakuu? Naomba nipate uhakika ni hiki ninachofikiria. Kwenye Kipengele cha "Job Preference" unapojaza form ya TaESA ni sahihi kwamba unatakiwa ujaze kazi ambazo ungependa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mna shida gani na continues walio pata mkopo kwenye Appeal . Hadi leo hamja wapa pesa zao na semester imeisha mfano mdogo vyuo vya Tumaini University makumira..mzumbe Morogoro na DIT mme ishia...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba kufahamu tofauti kati ya research, dissertation na thesis Wakuu naomba kuwasilisha. Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Katika pitapita zangu nimekuja kuona ili kujiunga na masomo ya Bachelor of science in computer science ni lazma uwe na atleast D za Physics na Mathematics Kutoka A-level.. Je, hiyo D ya...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu JF! Nipo katika wakati mgumu kuhusu shule. Nimetoka kupokea matokeo ya test nimepata 0/15. Somo la East African Community law. Sio kwasababu sikuwa na majibu sahihi, Lah! Ni...
3 Reactions
48 Replies
3K Views
Habari zenu wapendwa, leo ni siku ya mapumziko tuishi katika bwana. Niende kwenye Mada husika bila kupoteza mda. Nina rafiki angu yupo Johannesburg nchini Afrika Kusini ananisumbua kila siku...
2 Reactions
28 Replies
1K Views
Hivi kile Chuo cha St. Joseph kilichopo boko bado kinatoa degree ya udaktari?
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Napongeza sana utoaji wa tuzo katika elimu haswa kwa wale wanaofanya vizuri pamoja na walimu wao👍 Ila sijaelewa vigezo katika tuzo ya msimamizi bora wa mtihani🤔 Nn kinazingatiwa katika utoaji wa...
0 Reactions
0 Replies
654 Views
Napongeza sana utoaji wa tuzo katika elimu haswa kwa wale wanaofanya vizuri pamoja na walimj wao👍 Ila sijaelewa vigezo katika tuzo ya msimamizi bora wa mtihani🤔 Nn kinazingatiwa katika utoaji wa...
0 Reactions
0 Replies
423 Views
Serikali ingefanya mpango wa kuwapa boom la mtaji kwa wanohitimu vyuo vikuu. Baada ya graduation graduates wote wapewe boom la kwenda kuwasaidia kuanzia maisha mtaani. Hii ingesaidia kujiajiri...
1 Reactions
1 Replies
635 Views
Back
Top Bottom