Waraka wa wazi kwa Waziri wa Tamisemi.
Kwa kuwa wizara yako ndo inahusika kupanga majina ya walimu vituoni, moja kwa kwa moja sisi kama wadau wa elimu tunaomba mtoe miongozo kwa wahitimu...
Serikali isubiri utekelezaji wa Competency Based Education kenya wazazi,walimu na wanafunzi hawautaki
Baadhi ya vyama vimeweka kama Agenda ya uchaguzi kuwa wakishika madaraka hup mfumo wa...
Muhusika: Mdogo wangu kamaliza form four
Issue: Kwa matokeo yake alopata, what next? Kaniuliza kama kaka yake.
Matokeo yake yakoje: Haya hapa:
Civics C ... History D... Geography D ... Kiswahili...
Jamani naomba kuuliza?
Long course ya umeme ya veta chang'ombe inachukua miaka mingapi? Hapa nikimaanisha hadi level 2. Na mwaka huu wanaanza mwezi wa ngapi?
Pia nahitaji kujua Ada yake sh ngapi?
Naomba kuelewa unajimu huu...
Ni kwa nini angani kuna baridi sana ilhali kila unapopanda juu ndio unavyozidi kulisogelea jua ?
Jana maafisa wa usalama wa anga wa Uholanzi wamesema wameshindwa...
Mwaka jana kwa upande wangu ulikuwa mwaka mgumu sana baada ya kuwapoteza ndugu zangu katika masomo, rafiki ambao tulisaidiana kwa kila shida na tulishirikiana katika raha.
Wawili hao walikuwa...
Habari ndugu wanajamii forum,
Imekuwa ni kawaida kwa wanafunzi wa maskini wenzangu kukaa shuleni masaa kumi na mbili bila kula, yaani akienda shuleni saa kumi na mbili hapati chakula chochote...
Wandugu poleni na majukumu mm mdogo wenu ninaelimu ya kidato cha nne na nilipata dvtion 4 hivyo sina fani yoyote but ktk pitapita zangu nimekutana na hii couse inasemekana wanatoa short couse kwa...
Wakubwa samahani sana ..kama title inavyojieleza hapo juu nilikuwa nataka kujua je kwa aliesoma short course veta mfano ya electronics anaruhusiwa kuendelea kusoma vyuoni kwa ngazi tofauti kama...
Kwa sasa Tume ya Vuo Vikuu Tanzania(TCU) imeweka vigezo kwa wanafunzi wa Maters kuwa na Publication katika reputable journal, hasa kwa wanaofanya by thesis na PhD students. Kuwa na publication ni...
Habari,
Sisi ni wanafunzi wa afya ambao mwaka jana mitihani ilivuja kwa baadhi ya Vyuo na uamuzi uliofikiwa ni kufutia matokeo na kufanya mitihani upya jambo ambalo ni sawa kabisa.
Shida imekuja...
Hallo
Hellena
Lile
Beberu
Bora
Chinja
Na
Ondoa
Figo
Nene
Na
Mzungu
Aliye
Simama
Pale
Serengeti
Club
Arudi
Kwao
Canada
Miaka 6 iliyopita nilikua busy kufanya huu ujinga. Periodic table for the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.