Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari za wakati huu, Uzi maalumu kwa ajili ya wanafunzi wote wa vyuo vikuu na vyuo vya kati katika kusaidiana mambo mbali mbali ya vyuoni e.g kielimu, kijamii na kusaidiana namna ya kutatua...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari zenu, Naomba kufahanishwa ,kuna mwalimu ameajiriwa mwaka jana ,sasa mwanae anasumbuliwa na Afya ,mtoto ana umri wa mwaka mmoja, , hospital amegundulika anashida kubwa, kwahiyo...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
naomba kujua shule nzuri yenye combination ya CBG kidato cha tano wavulana private. DSM.MOROGORO.MOSHI.PWANI DODOMA ARUSHA
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Wadau wa jukwaa la elimu, habarini Naomba msaada wa Best cover letter maana imefikia hatua naona kama labda approach ya barua zangu za maombi ya kazi au CV ndo zinashida. Natuma maombi 10 ila...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari za asubuhi wakubwa, Naomba kufahamishwa. Kwa shule za msingi prem number ni kitu gani na ina umuhimu gani? Naomba kuelimishwa wandugu.
1 Reactions
3 Replies
7K Views
Habari za siku nyingi kidogo, ni muda sasa kutokana na majukumu ya hapa na pale sikuweza kuleta hata uzi mmoja hapa JF! Wanajamii, kama Heading inavyosema nina mawazo mawili kinzana katika...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Dogo anaweza kuchaguliwa pcm: phy D Chm C math B. 2 ya 18
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana JF. Jamani ninaomba mawazo yenu. Mimi ni mwalimu wa shule ya sekondari. Ila wakati naajiriwa nilikua tayari nimejiendeleza kwa kua na degree ya pili ya takwimi. MSc. Stat. Ndoto yangu...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu, natumaini ni wazima wote? Natamani sana kujifunza digital skills hasa programming kutengenez systems, websites, apps n.k ila nakosa mentors wakunipa guide naishia youtube n skillshare...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wazazi wengi hasa walioenda shule wanapenda watoto wao wa some Elimu ya juu yaani kidato cha tano, sita na kwenda chuoni kusoma degree na ikiwezekana apate na masters. Unapowalea watoto wako...
4 Reactions
1 Replies
729 Views
Habarini Wakuu, Wakati Ndugu Zetu(Dada, Kaka,majamaa,wadogo Zetu) Wamepokea Matokeo Ya Kidato Cha Nne, Ni Dhahiri Shairi Kwamba Sio Wote Watakao Pata Nafasi Kwa Shule Za Serikali Wapo Watakao...
1 Reactions
25 Replies
11K Views
Salaam wakuu Uzi huu ni mahususi kwa waliosoma elimu ya sekondari kidato cha nne na au sita katika shule ya sekondari ya Kinondoni Muslim. Lengo hasa ni kutambua na kuheshimu mchango wa shule hii...
0 Reactions
52 Replies
11K Views
Je umewai kuona mlolongo wa namba zinazo jiludia tena na tena mfano 1111 ,222 au umeskia kwamba kuona 12:12 kwenye saa ni ishara ya bahati . Kuona namba namba zinazojiludia kwenye saa au mahali...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Mnyampala ni moja ya waandishi wa mwanzo mwanzo kabisa Tanzania. Nisaidie vitabu vyake vitatu. Kama unavyo viscan halafu nitumie. Kila kitabu 10,000. 1. Diwani ya Mnyampala 2. Kisa cha mrina...
1 Reactions
3 Replies
703 Views
Hivi ni maeneo gani daresalaam wanapo fundisha vizuri.. tuition ya form kwa kombi ya pcm
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari ya saivi wakuu, naomba mwenye taarifa ya vyuo vya ualimu vinavyotoa course ya ualimu elimu maalumu hasa wenye tatizo la kusikia Wapi zinatolewa na vigezo gani wanazingatia kwenye udahili...
0 Reactions
4 Replies
586 Views
Habari! Nashida[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] na chand physics softcopy wakubwa. New comer hapa wa advance level[emoji114][emoji114]
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji kusoma certificate ya tour guide kwa mwaka mmoja nipo Arusha. Naombeni kujua yafuatayo kuhusu hii kozi Chuo kizuri kwa hapa Arusha Gharama zake Soko la ajira likoje Asanteni.
0 Reactions
10 Replies
5K Views
HABARI? wanafr naomba kuuliza na mwenye kunisaidia aweze kunisaaidia. kuna kitabu cha tamthiya kinaitwa ngoswe penzi kitovu cha uzembe kinafundishwa elimu ya sekondari. naweza kupata kikiwa (soft...
0 Reactions
17 Replies
16K Views
Habari wanajukwaa,mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012 kwa matokeo haya: Civics -C History - C Kiswahili -C Geography -B Biology - D Math's- F English-F Nilikua na mpango wa kujiendeleza...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom