Habari wana jamvi, Nilkuwa na omba kujua kiundani kuhusiana na hii kozi ya post graduate deploma in education.
Mimi baada ya kumaliza degree yangu nataka ni badili fani.
Swali langu ni ili baada...
Somo, hapo nimeitwa kwenye interview ila vyeti vyangu wanavyo NECTA. Naombeni muongozo wa kuvipata maana mara ya mwisho waliniambia wataniita ila muda sasa umepita.
*SUP SIO KILEMA*
[emoji41][emoji15][emoji35][emoji41][emoji15][emoji35]
Sup kwangu si kilema,
Ni matokeo ya kitaaluma,
Kama kusoma nilisoma,
Mtihani nikajibu vema,
Moduli zote zilituama...
Vyuo Vikuu pendwa havipo hata kwenye top 3000 global universities rankings!
Hivyo chukueni tahadhari.
**USHAURI: Bora hata umpeleke mtoto vyuo vya South Africa kuliko Ukraine.
NB: Hakuna mtu...
Habari ya muda wadau wa elimu.
Mimi ni kijana wa miaka 26 na nina Diploma ya Clinical Medicine ambayo nimehitimu 2020..tangu nipo mtaani kufanya kazi sehemu mbali mbali(vijiwe) nimejikuta sina...
Habari wadau,
Wapi naweza kupata mafunzo ya muda mfupi ya Engineering Drafting and design (AutoCAD/Solid works)?
Pia nijue vigezo na masharti.
Asanteni
Habari za leo jukwaa la Elimu
Naomba kutoa wito kwa ndugu zetu mliosoma kozi tajwa hapo juu tupeane mawili matatu yaliyojiri baada ya kuhitimu hii kozi
Naomba kufahamu
1. Uwezekano wa kuajiriwa...
Poleni na majukumu wapendwa. Binti yangu kachaguliwa kujiunga na St Marian Girls High School kwa combination ya HGE.
Anatakiwa kuwasili shuleni tarehe 8th Feb kwa ajili ya Pre-form 5. Najua...
Naombeni ushauri mwanangu amemaliza form 2 2017 lakin bado hajafanya NECTA form 4 yani baada yakumaliza akurudia form 3 shule nyingine na saivi yupo form 4 sasa shule inadai prem number naipataje.
Hlw, naomba msaada tafadhari Niko mwenye mchakato wa kuama chuo Ila nimekwama kwenye stage ya 5 naambiwa Sina vigezo japo vigezo vyote ninavyo naomba msaada nifanyenn Apo..? Kingine sijafanya...
Mwenye ujuzi Naomba Anijuze, Ni Baada Ya Muda Gani Vyeti Vya Form IV Vinarudishwa Baraza La Mitihani, Au Vinaendelea Kuwepo Shuleni Siku Zote?
Kuna Ndugu Alimaliza Shule Mwaka 2012 Anataka...
Habari wanandugu,
Nije kwenye point moja kwa moja, mimi nilikua nafuatilia uhamisho wangu wa kutoka chuo fulani cha private kwenda chuo cha serikali.
Mimi nilimaliza mwaka wa kwanza na niliscore...
Kumekuwepo na sera ya ufundishaji wa wanafunzi kwa kujuimuisha wenye mahitaji maalum na wale wa kawaida katika shule/ darasa moja.
Wanafunzi hawa katika baadhi ya shule wanafundishwa na walimu...
Mwezi wa Pili 2022 Mm na Jamaa Tulilipia Malipo ya Huduma ya Transcript kwenda NACTE ila mpaka sasa kimya. Tumejitahidi kuwapigia kupitia Namba zao Ambazo Zinapatikana ktk tovuti yao Cha Ajabu...
Hapa namaanisha kwa wale wanafunzi tuliobahatika kusoma shule za VIPAJI maalumu ingawa wengine wanaponda kama vile Msalato, Mzumbe, Kibaha, Tabora boys, Tabora girls, Ilboru na Kilakala.
Binafsi...
Wakuu habari
Sikufanikiwa kumaliza degree yangu pale IFM, niliishia mwaka wa pili, kutokana na sababu fulani,fulani..
Ila wamesema, nitapewa cheti, as a Higher Diploma student, kama nitahitaji...
Habari wana jf.
Mimi ni mzazi na nategemea mwanangu kuhitimu daresay la 7 mwaka huu hivyo kujiunga na kidato cha kwanza mwakani mwaka 2023.
Ningependa kujua makadirio ya Ada katika shule hizi...
Bros' &Sis Msaada wenu tafadhali!
Wadogo zenu tuliojiunga chuo directly from O'Level tunaomba msaada wenu juu ya matumizi bora ya scientific calculators., Ni kuhusu ku-perform shortcuts katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.