Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) nchini Tanzania leo Alhamisi Julai 11, 2019 limetangaza matokeo ya kidato cha sita ya mwaka 2019
Katika matokeo hayo yaliyotangazwa na Katibu Mtendaji wa Necta...
Wanajamvi nimekuwekea link ya moja kwa moja kuangalia machagulio ya SHULENI na tahasusi kwa SHULENI zote Tanzania Uchaguzi wa Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati, 2021
By considering The definition of TENSE.
Which state that tense is the contrast of the verb to indicate time.
Through the above definition I'm arguing that in English language there is only two...
Habari ndugu zanguni,
Swali. Mwaka 2016 serikali ilifuta mchujo wa kidato cha pili, swali langu walirudisha tena ama bado watoto wanaserereka kwenda kidato cha 4. Na kama walirudisha ni lini?
Asante
Natanguliza shukrani wakuu,
Hivi n kwa nini idadi ya waombaji wengi katika vyuo tajwa hapo juu uwa inakuwa kubwa kuliko vyuo vingine, kila mwaka,wenye kuvijua vizuri vyuo hivi atoe mwongozo.
Kwa wanaojianda na mitihani ni vizuri ukushea na wenzako baadhi ya past papers , zilizokwishafanyika za MCT .
Nimeambatanisha PRE INTERNSHIP EXAM, October 2021.
Baadae nitaweka post internship...
Vipaji vya sanaa mbalimbali watoto huzaliwa navyo, wengine hujifunza kwa kuona kwa watoto wenzao na kuweza kumudu na hatimaye kuwa na uwezo katika sanaa husika. Mara nyingi vipaji vya watoto wetu...
Nina dogo anasoma shule hizi za kulipia std 7 ee bhana wanasoma kuanzia saa 12 asbh wanapumzika saa nne muda kidogo tu saa nne na nusu wanarudi darasani mpaka saa nane.
Wanaenda kula wakirudi...
Wakuu ninatamani kuongeza ujuzi kwenye eneo la statistical software za kufanyia data analysis. Natamani kupata professional short-course Ili kujinoa zaidi kwenye Excel, SPSS, AMOS (Advanced Level)...
Wadau poleni na majukumu.
Tangu juzi mfumo wa kujaza online self form kwa wanafunzi wa kidato cha nne mwaka jana 2021 ulipofunguliwa nimejaribu kumjazia kijana wangu ila kuna changamoto naikuta...
habari wana jamii forum. naomba kuuliza kwa anaejua vzr anieleweshe, mm nasoma bachelor OUT(open university of Tanzania) ila nataka mwishoni mwa mwaka huu niombe kwenda kuanza bachelor Mzumbe ili...
Open University kuna Masters of Education, UDOM ipo Masters of Education in Management and Administration
Wadau, chuo gani ambacho utasoma na kumaliza kwa wakati bila vingingamizi toka chuo husika
Nimesoma sehemu kuwa mmea huo una protini nyingi kwa kulisha mifugo, hasa wanyama wanaocheua.
Sijaona sehemu wanapoelezakuhusu wanyama wengine.
Je, inafaa pia kwa kulisha nguruwe na akapanufaika...
Shikamooni,
Mimi ni form four graduate na Nina mpango wa kwenda college for further studies. Nina division 2 na nimebalance science subjects zangu zote pamoja na computer studies Kwa wastan wa...
katika maisha Kuna changamoto mbalimbali na Mapito mengi ambayo kila mtu huwa anayapitia na kuyakabili pia kanuni hizi nimezifanyia uchunguzi wakina na kuona wengi wamefanikiwa
1. kumtangualiza...
Baada ya kuulizana kwa muda sasa TCU wamefunguka na kutoa ufafanuzi. Tafadhali tuzingatie.
VYUO NA PROGRAMU ZILIVYOZUILIWA KUDAHILI WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA KWA MWAKA WA MASOMO 2017/18
1.0...
Wandugu, shule ya msingi Gongolamboto Jeshni inapatikana kwenye halmashauri ya jiji Ilala, kuna kodi au makusanyo yanafanyika pale ambayo natamani kujua ikiwa ni utaratibu wa kawaida au kungineko...
Wadau nauliza kati ya hizo mbili ni ipi ina uwanja mpana zaidi wa fursa? Au kama kuna nyingine bora zaidi ya Social science nayo pia unaweza kutushirikisha
Karibuni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.