Habari za Leo wakuu,
Natumai mu wazima wa afya njema. Gesi ya kabondioxide imekuwa ikitolewa kwa wingi kutoka kwenye injini za magari na kwenye mitambo viwandani. Injini za magari na mitambo ya...
Kwa wenye experience tafadhali au wanaofaham,
Ningependa kufahamu, inachukuwa muda gan kubadilishiwa matokeo ya foreign transcript ya vyuo vya nje na TCU baada ya kuwasilisha online!
Na je...
Maktaba ni sehemu ya watu kuongeza maarifa, mwana saikolojia Maslow katika mahitaji ya binadamu ameweka knowledge kama hitaji la tatu kuu muhimu kwa mwanadamu ili aweze kuendesha maisha yake ya...
Wataalam na wadau wa elimu ya juu wamewaomba viongozi wa serikali kuanzisha utaratibu maalum utakaoviruhusu vyuo vikuu nchini kuwapokea wanafunzi kutoka nchi za nje kusoma kozi ya shahada...
Nimeona Masters hii inatolewa MUHAS na Mlimani. Hapo mlimani nimeona wanaruhusu mpaka watu waliochukua course za arts undergraduate.
Swali langu ni je inauhusu nini na fursa zake zikoje hapa...
The Largest Countries in the World
The worlds largest nations, measured in square kilometers of land area.
The Trans-Siberian railway, which passes through Russia, is the longest railway line...
Wandugu tusaidiane kueleweshana kuhusu hili; mtu akisoma economics kwa level ya bachelor, program (au course) inaitwa BA Economics, akienda postgraduate (masters) kwa somo hilohilo, program...
Kama inavojieleza hapo juu je kozi ya kilimo veta inafaa usomee short kozi au long kozi mbali na hapo Tena vipi ukiilinganisha na electrical installation ipi Bora Zaid yenye ipo sokoni
Habar JF:
Sambamba na kichwa cha habari naomba kufahamu shule zote za Serikali ikiwezekana zinazofundisha mchepuo wa CBN yaan chemistry, biology na nutrition advance
Habari wadau Madaktari na Wakunga?
Naomba Kuuliza Ni Umri gani Sahihi wa Kutahiri mtoto wa kiume?
Kumbuka Ile ngozi inaweza Kuleta UTI
Pili Baada ya Kutahiriwa kama Muda sio sahihi mboroo inaweza...
Swali lenyewe.
**Document the experience of early primary resistance in Central Africa and Show how those resistances have shaped the atmosphere of Anti-colonial struggle in the region.Use...
Ni mhitimu wa Diploma ya Maendeleo ya Jamii, anahitaji kuomba sehemu ya kujitolea changamoto ni kwamba hajapata cheti chake cha diploma, ana hati inayoonyesha matokeo tu.
1. Je, akiomba kupitia...
Wakuu Kwa mujibu wa Mkuu wa Shule hii, Hii Shule ina madarasa ambayo hayakidhi mahitaji kabisa.
Shule iko katika manispaa ya jiji la Mwanza, ina eneo kubwa tu ambalo wangeweza kuongeza madarasa...
Habarini wakuu
Ni sehemu Gani naweza pata connection ya schoolarship kwa level ya master?,Nina shahada ya famasia nataka niongeze elimu nje ya Africa,pia kupata exposure ,experts wa mambo hayo...
Wakuu habari!
Kuna mdogo wangu, amemaliza form IV Arts.. naona yupo tu hapa nyumbani bila kazi yoyote.
Nimefikiria nimpeleke Veta chang'ombe akasomee umeme atleast mpaka level 3.
Sasa, naomba...
Habar JF:
Sambamba na kichwa cha habari naomba kufahamu shule zote za serikali ikiwezekana zinazofundisha mchepuo wa CBN yaan chemistry, biology na nutrition advance.
Wadau kwema
Toka waziri wa Tamisemi atoe Tangazo la kubadilisha mchepuo ya kidato cha nne ulifanya kazi siku moja tu na iligoma gafla kabla ya kumaliza kubadilisha baada ya hapo haikubali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.