Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Naomben msaada wa taratibu za kufanya ili kurekebisha jina lililokosewa. Yaan jina lililopo kwenye vyeti vyote ni tofauti na ilivyo kwenye Nida na cheti cha kuzaliwa. Majina yaliopo kwenye NIDA...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jamani nahitaji msaada wa namna gani naweza fanya malipo ya result transcript na leseni kwa kozi ya CLINICAL MEDICINE (NACTE)?
1 Reactions
2 Replies
3K Views
HABARINI za muda huu Wakuu, mimi ni kijana nimeenda age kidogo, kwasasa nipo chuo mwaka wa3. Nilikua natamani kujua kutengeneza animation since 2016 ila sikua na wakunisapoti nilielezea hili suala...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
wakuu habari na Poleni na majukumu Kuna ndugu yangu amemaliza accounting technician level 2 inayotolewa na NBAA anaulizia namna ya kupata membership namba msaada wenu wakuu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mtu anayekuwa na digrii 3 au zaidi je anakuwanazo ktk fani tofauti? Na je ipi maana ya phd kwa kirefu? Na masters nini na ktk hao yupi yupo juu? Nasubiri
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kusema ukweli form.5 &6 ni kupoteza muda. Ili kujenga kizazi chenye ujuzi ni bora serikali ikawekeza zaidi kwenye vyuo vya kati vinavyo toa certificate na diploma katika fani mbalimbali. Mtoto...
11 Reactions
87 Replies
7K Views
Walasam Ndugu wana Jukwaa, Naomba kufaham/Kuunganishwa na mtu alosoma Either BA Demography au MA Demography Pia kama kuna mtu anaufaham juu ya Program hii naomba msaada tafadhali. Nahitaji...
0 Reactions
1 Replies
468 Views
1. Kuna baadhi ya Shule za Sekondari, kunakuwa na mihimili miwili inayokaribia kulingana kwa utendaji kazi wake. Katika shule hizo, kuna Walimu walioanzisha Hostel za kwao. Hao wanakuwa na...
0 Reactions
0 Replies
892 Views
Habari! Special kwa wale ambao wamemaliza elimu ya chuo kikuu, wamepata vyeti, lakini havikuwasaidia chochote! Hasa hasa waliosomea visivyosomeka kama vile microbiology na anatomy, wakafungia...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Na Avatar mok Wakati tukielekea kuuaga mwezi january na tabu zake zooote, ELIMU NI BAHARI. Leo basi tupepese bongo mbali kidogo kwenye mambo magumu magumu niliyoyaweka ktk lugha bei chee yani...
2 Reactions
12 Replies
11K Views
Habari za kwenu wana jf naomba kupata darasa kutoka kwa vichwa makini na wenye ufahamu mpana zaidi kuhusu ishu za kuandaa , kuandika na jinsi ya kufikisha propaganda zako kwa lengo la kutimiza...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wakuu,wadau ,viongozi na waheshima wote najua Jamii Forum ni kisima cha mafanikio na wengi wamefanikiwa sana kimawazo,kumbuka::: kila kitu Duniani huanza na wazo na vyote duniani tuvionavyo...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
University of Zambia
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Naona watu wanatafutana humu ndani ya JF, sasa wale wa Kinondoni Secondary School wapo humu!? Wana wa Jariwalla.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari walimu!! Nimetafakari kwa kima kuhusu swala la ajira kwa upande wa sekta ya elimu, nimeona ni changamoto sana serikali kutimiza swala la ajira kwa wahitimu wa sekta ya elimu kutokana na...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Habarini jukwaa la Elimu na Wadau wote wa Elimu, Naomba kufahamishwa na kwa Manufaa ya wengi hapa jukwaani pia. Mwanafunzi anaesoma Qt Mwaka wa kwanza ajikite sana kwenye kusoma vitabu na kama ni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hapa tutakuwa tunaangazia tasinia ya Madalali na Wasambaza Nyaraka wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Tanzania. Tutaangazia sifa zao, upatikanaji wao,majukumu yao...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu. Leo ningependa tushirikishane jambo moja muhimu hususani kwa wazazi na walezi hasa wanapofanya maamuzi juu ya uchaguzi wa shule ya kumpeleka mwanafunzi au mtoto kwajili ya kupata...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombeni mnijuze, kuna watu nilisikia wakisema kwamba HESLB hutoa mkopo kwa kuangalia matokeo ya 4m4 je ni kweli?
1 Reactions
27 Replies
9K Views
Back
Top Bottom