Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari wakuu!! Ningependa kuuliza kama kwa hii (Msc IT Management) program Content inatosha mtu kuwa na Technical knowledge za IT au zipo based on Management tu CORE COURSES COURSE TITLE...
2 Reactions
2 Replies
684 Views
Can a muscle builder return to the previous shape
1 Reactions
6 Replies
690 Views
Habari ya za majukumu wana Jf naomba kujua tofauti ya NECTA na NACTE Pia kuna vyuo ambavyo vipo under NECTA?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za majukumu, Naitaji kusoma degree ya Open University nahitaji kujua utaratibu wa namna ya kusoma kwa huo mfumo. Nini nikifanye na changamoto zipi zinaweza tokea katika hili! Asante
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habarini za humu JF Elimu, Leo nimekuja kutoa nami mawazo na mitazamo ni namna gani tunaweza kuwasaidia hawa watoto katika hili somo rahisi kabisa! MAMBO YA MSINGI KWA MWANAFUNZI NA KWA MWALIMU...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Ningependa kujua ni kozi gani inayohusika na hati mkato ,maana nakutana na matangazo ya ajira yakiwa yanamtaka mtu wa kujaza nafasi kama "Katibu Muhtasi ". Naombeni mwenye kujua hiyo kozi anisaidie
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Nawezaje kuverify vyeti necta, Nacte au TCU ikiwa mimi niko nje ya Tanzania, Je naweza kuverify vyeti bila ya kuja Tanzania? Naombeni msaada wenu.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kuandikiwa Dissertation na mtu sio jambo baya au Kinyume na Sheria hapana. Zipo sababu nyingi zinapelekea mtu kuandikiwa dissertation au research kuanzia mwanzo hadi final stage. Sababu...
2 Reactions
66 Replies
7K Views
Wakuu nataka kusoma PhD Chuo Kikuu huria, je hii Shahada toka chuo pendwa inathaminika huko kitaa? Nisije kupoteza muda na pesa. Asanteni
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Poleni na majukumu ndg zangu. Naitaji ushauri wenu ili niweze kutimiza dream yangu. Mimi na rudia mtihania wa kidato cha nne, pia ni mwajiriwa najisomesha mwenyewe, nimepatwa na changamoto ambayo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za muda huu wakuu Ninaomba kujua utofauti kati ya fundi sanifu vifaa tiba na mhandisi vifaa tiba maana kwenye ajira zilizotoka nimeona wameweka watu wa aina hiyo sasa sijajua utofauti...
2 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari wanajukwaa, Naomba msaada wa Makampuni/Mashirika yanayotoa Ufadhili wa Masomo vyuo vikuu hapa Nchini Tanzania.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wadau nimesha deal na vyuo vikuu vifuatavyo; University of Dar Es Salaam, Open university, Istitute of Finance Management (IFM) na Mzumbe University. Nilichokumbana nacho si mfano bora, na hasa...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari zenu wapendwa natumai mko salama saana pole na changamoto za kila siku mnazopitia katika maisha. Mimi ni mwanafunzi nlie maliza form six mwaka2021 na ilipo fika wakati wa kuomba vyuo...
1 Reactions
2 Replies
848 Views
Habari ya muda huu wana jamvi. Leo naomba kuuliza swali hivi ni kwanini serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania [emoji1241] haina mpango wa kufikiria kuanza kutumia lugha ya Kiingereza kama...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Je, walimu sio mahiri? Je, wanafunzi ni vilaza?Je masomo ni magumu? au je mitihani ndiyo migumu? Mazingira ya ujifunzaji yanaridhisha? Je, kuna vitabu vya kutosha? Mitaala inakidhi viwango? Au ni...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Samahani wakubwa Hivi hii Kozi ya Bachelor of Science in Physics pale UDOM mtu akisoma anakuwa nani maana kila nitakayemuuliza ananiambia hapo ni ualimu naomba mnisaidie hapa? 🐒🐒🐒🤔🤔
1 Reactions
34 Replies
7K Views
Hakuna wa kumlaumu kama kwa %kubwa wasiojiweza wamekosa mikopo ili hali wanavigezo. Kwani Mama Mwenye nyumba alishasema " hata watoto wenye uwezo nao wanufaike mikopo" yote hayo ni kupindua mambo...
3 Reactions
46 Replies
3K Views
Asilimia kubwa ya wanafunzi nchini Tanzania hufanya vibaya SoMo la HISABATI , Jambo linalofanya wengi kuliita tatizo hili gonjwa la taifa . Kuna sababu mbalimbali zinazofanya wanafunzi wengi...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Mwaka 2018/2019 helsb bodi ya mikopo elimu ya chuo kiku ilitoa taarifa kwa waombaji walio omba mikopo kwa awamu 5 tu za mwanzo katika tuvuti zao. Lakini awamu zilizofuata zilitumwa moja kwa moja...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
Back
Top Bottom