Kwenu watendaji wa Tamisemi.
Kuna vijana wengi wameomba ajira za ualimu ambao sio walimu na mfumo umewakubali kabsa bila shida
Sasa kwa ushauri tu muanze na mchujo wa vyeti vya chuo kabla ya kitu...
Habarini wana jukwaa,
Naomba mwenye uelewa na course tajwa hapo juu anipe dondoo mbili tatu kuhusu modules zifundishwazo katika hii course, nimetokea kuvutiwa nayo.
Salama wakuu?
Natafuta madesa ya Barchelor Of Arts In Law Enforcement "BALE" kozi inayo tolewa pale UDSM. Kama kuna mtu anachukua BALE au alisoma BALE pale UDSM, tafadhali...
Habarini wana jukwa,
Naomba Mwenye ufahamu wa vigezo vinavyo hitajika kujunga na chuo cha michezo cha Mallya na cozi mbali mbali zitolewazo anisaidie nimetamani kufahamu.
kwakweli hili suala linafikirisha sana. Marekani high school alama F inaanzia 59 kushuka ambayo huku ni C ya kibabe sana. Huku F inaanzia 29, yaani mtu akipata 30 kafaulu. hata logic inakataa, mtu...
Wadau naombeni ushauri kuhusu kozi ya bachelor degree in roads and railway logistics and management pale NIT. 1. kazi zake hapo baadae.
Nina one ya 9 ya HGL
Wakuu habari,
Poleni na majukumu nilikuwa naomba kuuliza kuwa kwa Sasa Nacte imebadilishwa imekuwa nactevet ikiwa inamaana ya VETA itakuwa chini yao je, ni vigezo vipi ambavyo vinahitajika kwa...
Poleni na majukumu wakuu.Mungu ni mwema kila wakati.
Kwa wale walio kazini nafikiri watakuwa wanajua kuwa, mtu aliyesoma degree tofauti kwa mfano ktk Elimu anaweza akafanya Postgraduate diploma...
Ndugu wanna jamvi kuna changamoto inatokea kwa baadhi ya walimu kutokupewa vipaumbele kabsa.
Kuna vijana wamehitimu udom 2015 wakiwa wamesoma computer studies na masomo ya sanaa ila wamebaguliwa...
Hivi kuna wadau waliosoma kozi ya PGDE humu, wakafanikiwa kuajiliwa na kuripoti vituo vya kazi wakafundiasha kwa bidii kisha kuondolewa kazini baada ya miezi3, eti kwa madai degree ya kwanza...
Habarin za muda huu..naombeni kuuliza iv mtu anayesoma bsc in chemistry anaweza kuwa Pharmaceutical technician? Kwasabab wanaosoma hii course pia wanasoma pharmaceutical chemistry au medicinal...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.